Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 501
- 1,134
UmemalizaKama unataka ajira ya uhakika soma Agricultural Engineering au irrigation Engineering. Wahitimu wachache, vyuo vichache ajira kila mwaka.
Take your time ufanye uchambouzi wa soko la ajira ndani ya miaka 3-5. Anzia PSRP utapata data za kazi zinazotangazwa kila mwaka na kiasi cha wahitajika ujionee mwenyewe.
Huo ndio ushauri wangu. Takwimu hazidanganyi.
Usimchanganye mtoto andika kiswahili.What you want to archive?
Aende Jkt hawa wa sayansi wenye ufaulu mkubwa huwa wanabaki, wanawasomesha wenyeweChukua unachotaka kuchukua:
A. JKT ni upotevu wa muda, ratiba za jkt na kujiandikisha chuo na mikopo zinaingiliana sana utajikuta unakurupuka. Tulia (Ila usipumzike😂) fuatila kama ni chuo gani utaenda? Je mazingira utayaweza? Ukishajua chuo gani unaenda vitu vya kusoma vitajichuja
B. Angalia ndugu wa karibu waliokuzunguka wako fani gani, itakuwa rahisi wao kukuunganisha na rafiki zao wa fani hiyo utakapomaliza chuo
C. Fanya ufuatiliaji wa kina angalia matangazo ya ajira za serikalini, ni fani ipi inatangazwa kwa wingi au kwa unafuu?
Pointi zingine ntaongezea baadae au watu wengine watajazia.
Nenda DIT, piga IT, au, electrical,Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa
Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8.
Sasa kuna Jambo linanitatiza hususani kwenye hii era ambayo ajira hakuna. Naomba ushauri kwa JF Experts.
Vyuo ninavyotamani kusoma ni
UDSM na MUHAS napapenda ila nasikia cutting point zao ni kubwa Sana
- University of Dodoma
- Dar es Salaam Institute of Technology
- National Institute of Transport
- Dar es Salaam Maritime Institute
- Mbeya University of Science and Technology
- Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Sasahivi walimu wetu wanatuambia kuwa Biomedical Engineering ina soko ila kama ukipata ufaulu chini ya Division 1 ya 5 hupati chance ya kusoma hiyo kozi
Kwa hiyo huwa nawaza sana nisome kozi ipi ambayo ina nafasi kubwa ya kupata ajira au kujiajiri at least ukilinganisha na kozi nyingine
Watu wengine wanasema Computer Engineering ina soko, hivi ni kweli wakuu au ndo tunaingizana cha kike?
Kozi nyingine ninazowaza ni
- Mechanical Engineering
- Automotive Engineering
- Electrical Engineering
- Chemical Engineering
- Mechatronics Engineering
- Telecommunications Engineering
Kweli napenda Engineering ila sijui hata ipi inahitajika kwa Bongo ipi haihitajiki. Nimesoma thread nyingine nyingi ila bado sijapata majibu. Kuna muda nawaza niachane na Engineering labda nisome Accounting and Finance au Agricultural Science pale SUA ila nahisi watu wa Accounting ni wengi sana. Ajira zitakuwa ngumu mbeleni (sijui ila ninahisi tu)
Au nisome "Mechanical Engineering" Halafu nikatafute kazi JWTZ maana walisema ni kozi adimu na inahitajika jeshini. Au sijui nisome Automotive Engineering kwenye magari au hata treni nione kama ina tija 🥲
Nikisikia na watu wa mtaani wanavyotutisha kuhusu maisha ya mtaani yalivyo magumu ndo nachanganyikiwa kabisa. Hizo habari zinafanya nakosea hadi raha. Au niende chuo nikasome kwa bidii sana nipate GPA kubwa nione kama naweza kuwa lecturer. Nawaza mengi ila bado Niko njia panda Sana.
Naombeni ushauri wakuu nikasome nini chuo. Kozi yoyote Ile nzuri yenye soko la ajira Tanzania hata kama ni ngumu fresh tu, kupiga msuli naweza maana nina hamu sana na ajira.
Naombeni mawazo yenu wakuu
Wanangu wawili wamemaliza kozi hizo bado wapo mtaani wanahangaikia ajira mwaka wa tatu huu.Kama unataka ajira ya uhakika soma Agricultural Engineering au irrigation Engineering.
Ungekuwa na hela ungetafuta chuo duniani kinachotoa degree ya blockchain technology na issue za cryptocurrency maana ndipo uelekeo dunia ilipo.Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa
Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8.
Sasa kuna Jambo linanitatiza hususani kwenye hii era ambayo ajira hakuna. Naomba ushauri kwa JF Experts.
Vyuo ninavyotamani kusoma ni
UDSM na MUHAS napapenda ila nasikia cutting point zao ni kubwa Sana
- University of Dodoma
- Dar es Salaam Institute of Technology
- National Institute of Transport
- Dar es Salaam Maritime Institute
- Mbeya University of Science and Technology
- Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Sasahivi walimu wetu wanatuambia kuwa Biomedical Engineering ina soko ila kama ukipata ufaulu chini ya Division 1 ya 5 hupati chance ya kusoma hiyo kozi
Kwa hiyo huwa nawaza sana nisome kozi ipi ambayo ina nafasi kubwa ya kupata ajira au kujiajiri at least ukilinganisha na kozi nyingine
Watu wengine wanasema Computer Engineering ina soko, hivi ni kweli wakuu au ndo tunaingizana cha kike?
Kozi nyingine ninazowaza ni
- Mechanical Engineering
- Automotive Engineering
- Electrical Engineering
- Chemical Engineering
- Mechatronics Engineering
- Telecommunications Engineering
Kweli napenda Engineering ila sijui hata ipi inahitajika kwa Bongo ipi haihitajiki. Nimesoma thread nyingine nyingi ila bado sijapata majibu. Kuna muda nawaza niachane na Engineering labda nisome Accounting and Finance au Agricultural Science pale SUA ila nahisi watu wa Accounting ni wengi sana. Ajira zitakuwa ngumu mbeleni (sijui ila ninahisi tu)
Au nisome "Mechanical Engineering" Halafu nikatafute kazi JWTZ maana walisema ni kozi adimu na inahitajika jeshini. Au sijui nisome Automotive Engineering kwenye magari au hata treni nione kama ina tija 🥲
Nikisikia na watu wa mtaani wanavyotutisha kuhusu maisha ya mtaani yalivyo magumu ndo nachanganyikiwa kabisa. Hizo habari zinafanya nakosea hadi raha. Au niende chuo nikasome kwa bidii sana nipate GPA kubwa nione kama naweza kuwa lecturer. Nawaza mengi ila bado Niko njia panda Sana.
Naombeni ushauri wakuu nikasome nini chuo. Kozi yoyote Ile nzuri yenye soko la ajira Tanzania hata kama ni ngumu fresh tu, kupiga msuli naweza maana nina hamu sana na ajira.
Naombeni mawazo yenu wakuu
Duh ni kweli.... Huenda 4 years to come Biomedical Engineering itakuwa haina soko tenaUkisoma kozi kwa sababu ina soko utakuja kupata nsobgo wa mawazo baadae. Hizo kozi unasema zina soko leo fikiria miaka 4 au mitano baada ya wewe kumaliza chuo. Je zitaendelea kuwa na soko? Bila shaka soko linakuwa limebadilika.
Nadhani swala la muhimu ni kuangalia passion yako na utayari wa wewe kuitumia hiyo kozi maishani. Suala la Ajira linabadilika sana. Kuna kipindi niko sekondari Telecom Ilikuwa kozi matata sana. Lakini namaliza form six ikawa Petroleum, ila tulipomaliza chuo waliosoma petroleum wakjikuta mtaani
Hii si Ndio mpaka mwenyewe ujiajiri na mtaji inabidi uwe mkubwa sana. Watu wanatuambia hapo ndo ugumu wake ulipoKasome Civil engineering
Shukrani nitajitahidi kufuatilia ndani ya kipindi hikiChukua unachotaka kuchukua:
A. JKT ni upotevu wa muda, ratiba za jkt na kujiandikisha chuo na mikopo zinaingiliana sana utajikuta unakurupuka. Tulia (Ila usipumzike😂) fuatila kama ni chuo gani utaenda? Je mazingira utayaweza? Ukishajua chuo gani unaenda vitu vya kusoma vitajichuja
B. Angalia ndugu wa karibu waliokuzunguka wako fani gani, itakuwa rahisi wao kukuunganisha na rafiki zao wa fani hiyo utakapomaliza chuo
C. Fanya ufuatiliaji wa kina angalia matangazo ya ajira za serikalini, ni fani ipi inatangazwa kwa wingi au kwa unafuu?
Pointi zingine ntaongezea baadae au watu wengine watajazia.
Nilikuwa nawaza hivyo ila juzi niliona taarifa ya habari wanasema "VIJANA WALIOHITIMU JKT WAPEWA SOMO WAACHE KUTEGEMEA KUAJIRIWA JWTZ BADALA YAKE WAJITEGEMEE"Aende Jkt hawa wa sayansi wenye ufaulu mkubwa huwa wanabaki, wanawasomesha wenyewe