Nisome kozi gani?

Town Hustler

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
278
364
Habarini,

Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law

Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma

Maswali
a) Nikiomba inakubali?

Nina GPA 3.1
 
Vyuo ulivyo vitaja GPA yakujiunga degree ni 3.0 and above unaruhusiwa
Habarini,

Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law

Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma

Maswali
a) Nikiomba inakubali?

Nina GPA 3.1
 
umesoma chuo gani. huko chuo ulikua unasoma au unaongea?
Inafatana na chuo ulichosoma wewe ndio maana hiyo GPA unaiona ndogo labda,lakini ungesoma vyuo vya serikali mfanoDUCE,MUCE,SUA,MUHAS.aisee hata hiyo 3.1 wanapata malegend sasa kama umesoma MARIAN UNIVERISTY,GREEN BIRD ACADEMY nk.lazima uwe na dharau .Its better to stay quite kuliko kuwaheart wenzako.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Habarini,

Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law

Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma

Maswali
a) Nikiomba inakubali?

Nina GPA 3.1
Kasome Mipango Miji, au Economics
 
Habarini,

Nina Diploma ina Law nahitaji kusoma kozi za degree tofauti na Law

Kipaumbele changu ni kusoma masuala ya serikali za mitaa, maendeleo ya jamii na mipango miji
Vyuo km vile Cha Serikali za mitaa na kile cha Mipango Dodoma

Maswali
a) Nikiomba inakubali?

Nina GPA 3.1
www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook has all the answers
 
Back
Top Bottom