Nisome kozi gani kuwa Mwanasiasa?

Nisome kozi gani kuwa Mwanasiasa?

Live circuit

Senior Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
124
Reaction score
366
Habarini Wana jamvi,

Binafsi nina ndoto ya kuwa political leader hapo mbele na kama tunavyojua kuwa kila kitu kina maandalizi, nipo kwenye chama ngazi ya wilaya, ninajifunza mambo kadha wa kadha.

Ndoto yangu ni kuwa mwanasiasa, kwa sasa nina Diploma ya Clinical Medicine(CO), ila ñna mpango wa kusoma MD, nia yangu sio kutibu maisha yote, nawaza je, nikasomee Political Science (ingawa hii kozi siijui) au nikasomee MD tu kwanza?

Karibuni sana wadau.
 
Sasa clinical ofisa na sihasa wapi na wapi?hatahivyo wanasiasa sio lazima uwe msomi,humwoni Dokta Babu tale?[emoji28]jifunze kupiga porojo tu inatosha [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahah
Wapo wabunge ni ma Dr by professional, mfano naibu waziri wa afya , kigwangara nk
achana na ubunge wa miaka ya 90 now watu wamesoma ,

Kwa kigwangara apo sitaki povu
 
Hahah
Wapo wabunge ni ma Dr by professional, mfano naibu waziri wa afya , kigwangara nk
achana na ubunge wa miaka ya 90 now watu wamesoma ,

Kwa kigwangara apo sitaki povu
Kigwangala alifikia ubunge sio sababu ya Elimu ya u-doctor japo elimu hii ilimsaidia kupewa wizara, wewe soma chochote tu, siasa ni kitu rahisi sana.

mbowe anaifananisha na kumtongoza demu, ujue tu kuongea huku, mimi nina degree , hapa sikatiki ofisi zote za CCM na Chadema ,kokote tu fresh, maendeleo hayana chama
 
Kwa wakati huu hakikishh una degree kwanza then jifunze kujenga hoja zenye mantiki , ukiwa na degree hata Kama ya uvuvi hapo Ccm unaweza Kupata teuzi au kupachikwa Sehemu nzuri tofauti na hapo ili utoboe kwa Diploma yako, unabidi kuwa na Pesa zako za mtaji ili kuhonga wajumbe Kama alivyofanya Babu tale na msukuma.
 
uwe unaweza kudanganya tu lakini kumbuka .
Bali waoga, wazinzi, wasioamini, wazinzi,,,,,,,,,,,,,,,, sehemu yao ni ziwa liwakalo moto na kiberiti
 
Soma journalism and Mass Communication.

1. itakujengea uwezo wa kuzungumza majukwaani na kuimudu hadhira.

2.itakulink na waandishi mbalimbali ambao watakupa Media coverage ktk events zako mbalimbali.
3.Utajifunza propaganda.
4.chunga sana usije kuwa Mshabiki wa Yanga utaharibu hayo yote niliyokushauri.
 
Hahah
Wapo wabunge ni ma Dr by professional, mfano naibu waziri wa afya , kigwangara nk
achana na ubunge wa miaka ya 90 now watu wamesoma ,

Kwa kigwangara apo sitaki povu
Wala huna sababu ya kuacha kusoma MD mdogo wangu siasa haisomewi popote,ndo maana unaona wengine ni wachumi,wanasheria madktari lakini ni wana siasa wazuri tu
Dorothy gwajima daktari wa binadamu yule akina faustine ndugulile n.k
Ummy mwalimu mwanasharia,akina zito wachumi n,k wengine walimu
Siasa ni kuwa mfuatiliaji wa mambo na kuongea sana,kwa kujiamini na kuweza kujenga hoja zenye mashiko utafaulu kupata mtaji wa watu ndo maana unawaona wengine darasa la 7 tu kama msukuma,lusinde na wengineo
 
Back
Top Bottom