Naombeni ushauri kozi gani nisome nikiwa na mpango wa kusoma shahada

Burapaa

Member
Feb 24, 2023
18
16
Habarini wakuu mimi ni muhitimu katika ngazi ya stashahada nikiwa nimefanikisha kusom kozi ya business administration.

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchagua kozi mm mwenyew nimeona nije nisikilize na mawazo yenu, Kama nikiwa na mpango wa kusoma shahada naombeni mawazo yenu nisome kozi gani na vyuo gani bora kwa hapa Tanzania
 
Habarini wakuu mimi ni muhitimu katika ngazi ya stashahada nikiwa nimefanikisha kusom kozi ya business administration. Kabla sijafanya maamuzi ya kuchagua kozi mm mwenyew nimeona nije nisikilize na mawazo yenu ,Kam nikiwa na mpango wa kusoma shahada naombeni mawazo yenu nisome kozi gan na vyuo gan bor kwa hapa tanzania
Baed ,tofila kisanju university Bukoba
 
Habarini wakuu mimi ni muhitimu katika ngazi ya stashahada nikiwa nimefanikisha kusom kozi ya business administration.

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchagua kozi mm mwenyew nimeona nije nisikilize na mawazo yenu, Kama nikiwa na mpango wa kusoma shahada naombeni mawazo yenu nisome kozi gani na vyuo gani bora kwa hapa Tanzania
- Procurement & Supply,
  • Accountancy,
  • Banking & Finance,
  • Marketing,
  • Human Resources Management.
 
Bado kak nina changamot kubw san chuon hadi nashindw kuelew nafanyaj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom