Nisome Degree nyingine?

Kikomelo

Senior Member
Sep 12, 2011
106
57
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, nina Advanced Diploma in Accountancy toka IFM yenye GPA ya 4.2, nina CPA na MBA. Ninapenda sana kufundisha vyuo lakini nimekuwa nikikutana na ugumu kutokana na kuwa na Advanced Diploma. Nimekuwa nikifikiri kwa muda sasa kuwa nisome Open univestity degree ya Accounting ili nipate 1st class na kuingia kwenye game la kufundisha vyuo vikuu! je wadau mnanishaurije?
 
daah pole mkuu unataka kuniambia kwamba hata hao IFM wanakukataa TIA,CBE,SAUT, ST.JOHN., MZUMBE ... ?
vipi kwa nini usifanye postgraduate ili umalizane nao daah hii ya dregee nyingine sikushauri labda kama unajiweza kimapato na KIMUDA(AMBALO NDIO MUHIMU SANA KWANGU)...
 
Anzisha tuition mkuu kama nia yako ni kufundisha.Ila kama unaangalia maslahi tutorial assistant ndo unaona inalipa sana.Angalia pande zingine
 
Back
Top Bottom