Nisome cozi zipi ili niweze kuwa White hat hacker

Nisome cozi zipi ili niweze kuwa White hat hacker

kijana unaweza kuwa,asikukatishe tamaa mtu yeyote cha msingi usiwaze chuo kizuri au mwalimu mzuri kuliko wote you have to learn all yourself nilichogundua watu wapo kivyeti hii ni kwa yeyote anayesoma post hii "Shule huua kipaji cha mtu." Elewa tofauti ya Elimu na Shule... jenga aina yako pekee ya kufikiri mfano utakaposema unachora picha ya Mungu kila mtu atakuita mjinga but ulichofikiri ni traits za genius.. Kumbuka "Isaack Newton alijiuliza kwa nini tunda linadodonka chini na si juu" huu ukawa mwanzo wa kanuni za mwendo... Asikwambie mtu na ukamsikiliza eti huwezi kwa sababu upo Tanzania na wewe ni mweusi.. hatuwezi kwa sababu hatujajaribu,tukishindwa tunaacha na hatuamini katika uwezo wetu pia tumelishishwa ujinga wa kujidharau
 
Upo nchi gani?
Unasoma chuo nchi gani?
hiyo ndoto ya hacker hatari zaidi duniani ipoteze tu sio kwamba na ku discourage ila kuna settings hazikupi hiyo favour kataa usikate

Tunaishi katika nyakati ambayo unaweza ukajua chocho te unachotaka... only determination and devotion are needed
 
hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker???msaada tafadhali

kwa nn wabongo tumekua tukiwaza silly ideas kama hacking wakati in turn we can do better things with our computer.....Achen kuwa brainwashed na movies......kaa chini fikiria IT project zitakazokuletea maendeleo wewe na jamii yako kiujumla
 
nasikia people frm russia n wabaya sana wamesoma programming hatare ndo hao wanaiba pesa kweny ma bank na atm na documentary mbalimbali wakiwa geto tu
 
nani kasema hacking ni movies?? unamjua kevin mitnick,albert gonzalenz???hao walikuwa wanaact?
 
kwa nn wabongo tumekua tukiwaza silly ideas kama hacking wakati in turn we can do better things with our computer.....Achen kuwa brainwashed na movies......kaa chini fikiria IT project zitakazokuletea maendeleo wewe na jamii yako kiujumla

Hacking is a silly Idea.
May you validate ?

White hat hackers are usually seen as hackers who use their skills to benefit society. They may be reformed black hat hackers or they may simply be well-versed in the methods and techniques used by hackers. An organization can hire these consultants to do tests and implement best practices that make them less vulnerable to malicious hacking attempts in the future. "technopedia"
 
nasikia people frm russia n wabaya sana wamesoma programming hatare ndo hao wanaiba pesa kweny ma bank na atm na documentary mbalimbali wakiwa geto tu

am5mygirofnqeb9rb9yr.png
 
Brother soma networking na technologies zake, programming languages kama c java na nyingine, na ni vizur ukawa na knowledge ya computer science in general pia penda kuwa updated na mambo ya computer security
Also utafanya kazi kiurahisi kama ukiwa unafahamu linux

Why Kila Mtu Linapo Kuja Sala La Kupata Clear Knowledge About Hacking Wengi wao Watoa Ushauri,Hushauri Utumie LINUX ni Kwa nini Any One Anaye Weza Nipa strong reason please....
 
Why Kila Mtu Linapo Kuja Sala La Kupata Clear Knowledge About Hacking Wengi wao Watoa Ushauri,Hushauri Utumie LINUX ni Kwa nini Any One Anaye Weza Nipa strong reason please....

-Microsoft Windows pamoja na MAC haziaminiwi na hackers ktk upande wa security duniani.

Kwamfano unapotumia windows wao wanachokiwaza ni hela tu, kwahiyo wana uwezo wakufanyia scanning computer yako remotely ili wajue unatumia software gani za Wizi wizi "Pirated softwares"

Hii ina maana yakwamba OS kama windows zina mlango wanyuma "Back door" ambao unamruhusu mtu kuingia ktk computer yako bila ata Ruhusa yako kama wanavyofanya hao jamaa, na hii inatoa urahisi sana wakujulikana ww ni nani !

-Linux ni Open source.
Linux source code zake unaweza kuzimodifie kwahiyo zipo open kwakila mmoja hivyo basi wewe ukigundua tatizo ni rahisi kumwambia yule kua kunatatizo hili na hili na Litafanyiwa fixing haraka tu iwezekanavyo.

Sio kama OS binafsi kama MAC na windows ambazo tatizo likitokea zinachukua ata mwaka kufanyiwa marekebisho.

Kwahiyo kinachofanya Linux iwe ni the best for hacking lazma tuangalie upande wa security kwanza.
OS haimfanyi mtu awe hacker mzuri bali ni juhudi zake binafsi zakujituma.

Windows for Gaming, Linux for everything.
 
kuna course moja wanatoa havard chuo cha lile joka lenye makengeza inaitwa bachelor of masters in diploma engineering,, fukuzia iyo ipo flengwe mazee
 
Unataka kuwa white hat afu uwe "hatari" tena....
By the way unataka uwe una hack nini coz hacking cover many areas ?

Kashakuambia white hacker so he/she means wanna prevent hacking or testing networks penetration
 
Mkuu labda nikuulize unajua language ngapi hadi sasa japo basics hata kama ni OOP
 
Hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker ? Msaada tafadhali

Kabla ya kufikiria kuwa hacker jifunze kuwa programmer kwanza halafu ukishabobea ndio ujifunze kuwa hacker. Out of this idea hutoweza ku hack chochote cha maana
 
Hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker ? Msaada tafadhali
lazima ujue programming kama unataka kuwa hacker
 
Back
Top Bottom