Nisiyetabirika kamwe

Nisiyetabirika kamwe

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Hai familia yote ya jf cc

Leo tena nimeingia kwa fumbo lisiloweza kubashirika kiurahisi labda uwe na macho ya rohoni
utaweza tambua mada hii inazungumzia nini hapa na utaelewa Lady ametaka kusema kitu
gani hapa. Ni kwa wale tu marafiki zangu wenye utambuzi ndio watagundua nimesema nini
na nataka kutabiria nini hapa mjengoni, hususani katika kipindi hichi cha kiditaale.

NAANZIA HIVI:-

Mtanijuaje mie nisiyetabirika hata kidogo uende kusini, kaskazi, magha na hata mashariki ya mbali
utaniweza kwa chochote wala kwa lolote nimejaa tele kama pishi lililokosa pishi ndani yake lasubiri
pishi litokeee jamani.

Sorry waungwana marafiki zangu hizi ndo gia ambazo nimeona niingie nazo humu yaani kichitchat
zaidi kwani niliingia kwa kufunda, kuelimisha, kukosoa, kujenga na kubomoa nasasa naingia kwa
kufurahishazaidi je mjanipenda marafiki zangu wapenzi wangu wa hapa mjengoni? Mwenzanu
nilinuna kidogo majira ya asubuhi, kwani kuna mtu alisema kuwa aongee na mbwa anaongea na
mwenye mbwa jamani hayo ni maneno yakuleta hapa mjengoni jamani, si kuabibishana nakuchafuana
majina na hasa silika zetu, Wewe mtu mzima unaambiwa haya lete hoja yako hapa unaanza kuponda
na kukashifu wenzako mjengoni na kuwaita mbwa jamani amani tunaiepeleka wapi hapa CC. kKwanini
umwambie mwenzako hivyo kwani wewe ukiambiwa hivyo utapenda kweli si utakasirika na mashavu
kutuna na kutaka kuleta ugomvi humu mjengoni jamani. Nimejisikia vibaya sana tena sana humu
hasa kule kwenye jukwaa la dom, sijafurahia kabisa lugha ile imeniboa, huwezi mtu mzima ukasimama
na kutoa hoja huku ukiwa na lugha ambayo haimpendezi Mungu na wanadamu kiujumla.

Kwa kweli mm Lady sitabiriki hata kidogo lazima kwenye kusema ukweli nitasema na
pale ambapo nimeuzika nitasema pia kwani mficha malazi kifo huumbua hivyo nami sitaki yawe hivyo
wandugu wapenzi wangu marafiki zangu wa jf naomba mnapoambiwa leteni hoja leta hoja na sio
vurugu na kama unataka MWONGOZO omba kwa unyenyekevu kwa Mhe. Spika na sio papara papara
kwani unadhani tunataka kuleta machafuko hapa kwetu jamani hapa ni kweltu na tutabaki kuwa hapa
hapa sasa wewe mtu mzima badala ya kuomba MWONGOZO kistaarabu wewe unatoa lugha chafu tena
hewani hujui kuwa tuko katika kipindi cha digitali na sio analogia jamani na mambo yote yanaonekana
ulimwenguni mzima,

MWENYE MASIKIO AMESHASIKIA NA MWENYE MACHO AMESHAONA, NA MWENYE KUTAMBUA NA KUELEWA NILICHOSEMA HAPA AMESHAELEWA NINI NAKIZUNGUMZIA HAPA NA KAIELEWA HICHI NILICHOLETA HAPA
HAYA WANAMJENGONI LETENI YALIYOMO MOYONI MWENU HAPA TUPIA KAMA KARANGA.

Copy: Mentor (mwanaharakati myakinifu), Nicas Mtei (mwanaharakati mpinzani), charminglady (my cousin asiyetisika), Chimbuvu (asiye na mawaa), Zion Daughter (Mpenda amani), stevoh (mwenye usumbufu wa kiaina), manoah (Mwenye mikogo), Erickb52 (Mwanamageuzi), Mtambuzi (mchochea fujo), Ruttashobolwa (mwanaharakati asiyekata tamaa), Smile (Mtetezi wa wanyonge), gfsonwin (mwanamapinduzi) sweetlady (Msemaji wa wanyonge) Madame B (Anayejitetea), Arushaone (Asiyetabirika), Mr Rocky (mpinzani asiyechoka), Paloma (Jeshi kubwa), Mpenda Yesu (Mwinjilisti wa kimataifa) KakaKiiza (Anayejiona yeye na si mwingine), Jiwe Linaloishi (Anayejitetea hata kama kuna dosari haoni), FirstLady (Mtetezi wa wanawake),

na wengine wengi ambao sijawataja hapa chukueni kopi yenu kwa kaka Mtambuzi atawapa labda awafanyie fujo niiteni nitakuja kumrekebesha kidogo kwa Neno la Power

Nawapenda kama ninavyojipenda mwenyewe.

ciao
 
Last edited by a moderator:
..............kama maneno bunduki.............basi saa hizi ungekuwa unabweka!!!:A S-fire1:
 
he ha haa haa haa haaaaa wapi bhana :A S shade:niko na miwani ya jua nani atakayeniweza mdada mie haka sitaki mie naogopa :A S 114::A S 114:
..............kama maneno bunduki.............basi saa hizi ungekuwa unabweka!!!:A S-fire1:
 
nitumie basi huo ubize mbona siuelewi best au ndo usharuka mikwanja sio au ndo fikski za humu cc? au ndo ushatokelezea kivingine? oky ila tuma na hii kitu sijaielewa hii hapa :A S 39:
NOTED!!!!:A S 39::yo:
 
Hai familia yote ya jf cc

Leo tena nimeingia kwa fumbo lisiloweza kubashirika kiurahisi labda uwe na macho ya rohoni
utaweza tambua mada hii inazungumzia nini hapa na utaelewa Lady ametaka kusema kitu
gani hapa. Ni kwa wale tu marafiki zangu wenye utambuzi ndio watagundua nimesema nini
na nataka kutabiria nini hapa mjengoni, hususani katika kipindi hichi cha kiditaale.

NAANZIA HIVI:-

Mtanijuaje mie nisiyetabirika hata kidogo uende kusini, kaskazi, magha na hata mashariki ya mbali
utaniweza kwa chochote wala kwa lolote nimejaa tele kama pishi lililokosa pishi ndani yake lasubiri
pishi litokeee jamani.

Sorry waungwana marafiki zangu hizi ndo gia ambazo nimeona niingie nazo humu yaani kichitchat
zaidi kwani niliingia kwa kufunda, kuelimisha, kukosoa, kujenga na kubomoa nasasa naingia kwa
kufurahishazaidi je mjanipenda marafiki zangu wapenzi wangu wa hapa mjengoni? Mwenzanu
nilinuna kidogo majira ya asubuhi, kwani kuna mtu alisema kuwa aongee na mbwa anaongea na
mwenye mbwa jamani hayo ni maneno yakuleta hapa mjengoni jamani, si kuabibishana nakuchafuana
majina na hasa silika zetu, Wewe mtu mzima unaambiwa haya lete hoja yako hapa unaanza kuponda
na kukashifu wenzako mjengoni na kuwaita mbwa jamani amani tunaiepeleka wapi hapa CC. kKwanini
umwambie mwenzako hivyo kwani wewe ukiambiwa hivyo utapenda kweli si utakasirika na mashavu
kutuna na kutaka kuleta ugomvi humu mjengoni jamani. Nimejisikia vibaya sana tena sana humu
hasa kule kwenye jukwaa la dom, sijafurahia kabisa lugha ile imeniboa, huwezi mtu mzima ukasimama
na kutoa hoja huku ukiwa na lugha ambayo haimpendezi Mungu na wanadamu kiujumla.

Kwa kweli mm Lady sitabiriki hata kidogo lazima kwenye kusema ukweli nitasema na
pale ambapo nimeuzika nitasema pia kwani mficha malazi kifo huumbua hivyo nami sitaki yawe hivyo
wandugu wapenzi wangu marafiki zangu wa jf naomba mnapoambiwa leteni hoja leta hoja na sio
vurugu na kama unataka MWONGOZO omba kwa unyenyekevu kwa Mhe. Spika na sio papara papara
kwani unadhani tunataka kuleta machafuko hapa kwetu jamani hapa ni kweltu na tutabaki kuwa hapa
hapa sasa wewe mtu mzima badala ya kuomba MWONGOZO kistaarabu wewe unatoa lugha chafu tena
hewani hujui kuwa tuko katika kipindi cha digitali na sio analogia jamani na mambo yote yanaonekana
ulimwenguni mzima,

MWENYE MASIKIO AMESHASIKIA NA MWENYE MACHO AMESHAONA, NA MWENYE KUTAMBUA NA KUELEWA NILICHOSEMA HAPA AMESHAELEWA NINI NAKIZUNGUMZIA HAPA NA KAIELEWA HICHI NILICHOLETA HAPA
HAYA WANAMJENGONI LETENI YALIYOMO MOYONI MWENU HAPA TUPIA KAMA KARANGA.

Copy: Mentor (mwanaharakati myakinifu), Nicas Mtei (mwanaharakati mpinzani), charminglady (my cousin asiyetisika), Chimbuvu (asiye na mawaa), Zion Daughter (Mpenda amani), stevoh (mwenye usumbufu wa kiaina), manoah (Mwenye mikogo), Erickb52 (Mwanamageuzi), Mtambuzi (mchochea fujo), Ruttashobolwa (mwanaharakati asiyekata tamaa), Smile (Mtetezi wa wanyonge), gfsonwin (mwanamapinduzi) sweetlady (Msemaji wa wanyonge) Madame B (Anayejitetea), Arushaone (Asiyetabirika), Mr Rocky (mpinzani asiyechoka), Paloma (Jeshi kubwa), Mpenda Yesu (Mwinjilisti wa kimataifa) KakaKiiza (Anayejiona yeye na si mwingine), Jiwe Linaloishi (Anayejitetea hata kama kuna dosari haoni), FirstLady (Mtetezi wa wanawake),

na wengine wengi ambao sijawataja hapa chukueni kopi yenu kwa kaka Mtambuzi atawapa labda awafanyie fujo niiteni nitakuja kumrekebesha kidogo kwa Neno la Power

Nawapenda kama ninavyojipenda mwenyewe.

ciao

ndefu mno madame hadi nimesahau nimeanzia wapi kusoma..
 
Last edited by a moderator:
wewe acha best Donn kwani mhe. spika kasema kuwa lugha mbovumbovu zisitumike hapa laikini watu bado wanaendelea si unamuona KakaKiiza hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom