Nisimpigie simu wala kumtumia meseji

Nisimpigie simu wala kumtumia meseji

Mahusiano unayoulizwa ni yale ya kuendelea kugonga mzigo au mahusiano yaliyopo ni ya kutoa matumizi tu?

mzigo nilikua nagonga kamakawaida ila jana ndo kaniambia hivyo
 
Nami nikuulize....kwann umpigie simu??Tuma pesa unayojua mwanao itamfaa basi.

Sms zinashtua..wakat mwingine unaacha hata kumfunga mtoto nepi unakimbilia simu ukijua mshiko kumbe salam arghhhhh!!!!
 
Wana JF,

Mimi nina mdada nimezaa naye ila yupo kwao, mtoto namtunza vizuri tu mahitaji yote anayotakiwa kuwa nayo mtoto ila cha kushangaza jana nimempigia sim mama mtoto wangu kaniambia nisimpigie sim wala kumtumia SMS hataki, ana maana gani?

Ushauri wenu tafadhari

HakupenDi Huyo, hauelwei Tu kaa!

 
Baba Wa mtoto yupo akiondoka mtawasiliana usiwe na hasira
 
kwahiyo nikitaka kujua mwanangu anaendeleaje ni fanyaje?

Si ulisema wazazi wake wanakujua (.wasiliana na wazazi wake kujua hali ya mtoto be a man bhana sio kuja kulialia hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
lazimma kuna kitu umemfanyia sio buree!ungekuwa kweli unania ya dhati ungeishi nae mlee mwanenu vzr bas
 
Back
Top Bottom