Nisimpigie simu wala kumtumia meseji

Nisimpigie simu wala kumtumia meseji

hujui kutunza...unajisifu kumbe anshakuona kanyaboyaa...ka wapenda kutunza WACHUKUE wote wawili UWATUNZE ndo uje hapa ujipige pige kifuaaaaa
 
Bado una uhusiano nae wa kimapenzi? Kama huna basi fuata masharti yake bila shuruti. Kama ni suala la mtoto basi atakutafta mwenyewe.
 
kwahiyo nikitaka kujua mwanangu anaendeleaje ni fanyaje?

Upo uwezekano huyo mtoto ana "baba" zaidi ya mmoja, na huyo baba mwingine yupo nae hapo alipo hivyo anahofia utamuharibia
 
We tulia bhana atakutafuta mwenyew bdae,khs mtoto ni damu yako kamwe haiwezi potea.
 
Kuna wanaume wanaililia bahati kama yako, mwanamke atalea mtoto mwenyewe wewe unapata shida gani?

Idadi ya wanawake ni zaidi ya billion 3 duniani. stop crying.
 
labda mtoto ana wababa wawili huyo. take care
 
Kuna wanaume wanaililia bahati kama yako, mwanamke atalea mtoto mwenyewe wewe unapata shida gani?

Idadi ya wanawake ni zaidi ya billion 3 duniani. stop crying.

hata mi nashangaa... huyu mtu anataka kujiongezea majukumu wakati wengine tunalilia hizo chance
 
wana jf,

mimi nina mdada nimezaa naye ila yupo kwao, mtoto namtunza vizuri tu mahitaji yote anayotakiwa kuwa nayo mtoto ila cha kushangaza jana nimempigia sim mama mtoto wangu kaniambia nisimpigie sim wala kumtumia sms hataki, ana maana gani?

Ushauri wenu tafadhari

peleka posa oa
 
ndio bado tunamahusiano na wazazi wake wananifahamu na wangu wanamfaham pia

Mahusiano unayoulizwa ni yale ya kuendelea kugonga mzigo au mahusiano yaliyopo ni ya kutoa matumizi tu?
 
wana jf,

mimi nina mdada nimezaa naye ila yupo kwao, mtoto namtunza vizuri tu mahitaji yote anayotakiwa kuwa nayo mtoto ila cha kushangaza jana nimempigia sim mama mtoto wangu kaniambia nisimpigie sim wala kumtumia sms hataki, ana maana gani?

Ushauri wenu tafadhari
nyambafu,kumbe wewe ndiye unayeniharibia mke wangu?
 
Back
Top Bottom