Nishaurini ndugu zangu

Nishaurini ndugu zangu

wanaume msiteee jamani.huyo bwana ni mvivu.hata kama una elimu yako,fanya kazi ambayo ipo chini ya elimu yako.maisha magumu,baadae utatafuta kazi kulingana na elimu yako.halafu huyio mdada kinachomrudisha nyuma,hata ndugu zake hawatambulishi.kwa nini?(angemridhisha japo kwa hilo)huyo bwana ana mahesabu yake.
 
kwa mtindo huo ni kweli ndo mnavotaka, hamtaki natural selection but survival of the fittest lead by wealth. Mkitaka ivo ni noma, wana waume wanashika mipni nyie mkishika kwenye makali,nani asiyependa kazi?inakuingia akilini mtu achukie kazi alale?mambo bado jamani...mpe muda mwenzio.

Hapana,lazima mwanaume ujishughulishe no matter what!
 
wanaume msiteee jamani.huyo bwana ni mvivu.hata kama una elimu yako,fanya kazi ambayo ipo chini ya elimu yako.maisha magumu,baadae utatafuta kazi kulingana na elimu yako.halafu huyio mdada kinachomrudisha nyuma,hata ndugu zake hawatambulishi.kwa nini?(angemridhisha japo kwa hilo)huyo bwana ana mahesabu yake.

Mimi ni mwanaume na sikubaliani na huyo jamaa,elimu kitu gani bana?Afanye kazi bana!
 
shosti kumuacha mwenzio sio poa
inavyoonekana ana sababu za msingi
kaa nae,muulize taratibu na hiyo sidhani kama
ni sababu ya ww kumtoa mwenzio moyoni!
 
shosti kumuacha mwenzio sio poa
inavyoonekana ana sababu za msingi
kaa nae,muulize taratibu na hiyo sidhani kama
ni sababu ya ww kumtoa mwenzio moyoni!

Angekuwa tayari kutangaza ndoa hata ya chai tu mimi sina shida. Amenitoka cz naona kama natapeliwa. Nani ananijua kwao? Sababu za msingi? Zipi? Na hizo habari zake zinazovuma ambazo nachelea kumuuliza na kuzichunguza sitaki? Yakikukuta utakuwa mpole.
 
muweke wazi kwa kila kitu
kwamba unataka kitu hiki,na hiki na hiki
na habari unazozipata mwambie uskie atasemaje!
hataki chanja mbuga akome na ukauzu wake!
 
LET THIS BE A LESSON TO ALL MEN OUT THERE: WHEN POVERTY ENTERS THROUGH THE DOOR LOVE ESCAPES THROUGH THE WINDOW!!! moral of the story is....kamata gegeda tupa kule

mzabzab sio kweli the guy is poor huyo ni mzembe na ndicho kilichomchosha huyu dada...mwanaume unalala mpaka saa 10am while mwanamke anagombania daladala 5am!!!LOVE will not only escape through the window aisee even through the ufa

Kwa ulalaji huo huyo hata ujasiriamali hatauweza
 
Last edited by a moderator:
Kivipi? Anakaa kwangu. Au me niondoke? Niende wapi?

kwa hiyo anakaa kwako.....
Anakula....
Anaku.nya...
Unampa hela ya matumizi....
Akitaka kuhang na rafiki zake hela unampa....
Halafu unategemea atafute kazi????

Mpe masharti mwambie unataka asimame kama wanaume wenzie....
Akiitwa kwenye intervie halafu asiende au akipata kazi halafu akatae mwambie aondoke nyumbani kwako.....maisha yakimpiga mtaani akili itamkaa sawa
 
ok nakuelewa kuhusu muda kusogea ila wewe unahisi wakiachana ndo mdada atapata raha ya milele, je akimkimbia uyo na kukutana na mbaba mwenye pesa ila ni jambazi?au akikimbia akaolewa na mtu mwenye pesa ila ni za mazingaombwe?a bird in hand is best than ten in the forest. Kuhusu kuoa, ndoa ni sherehe,harusi ni furaha,sasa uyo mkaka anaanzaje kwenda kujitambulisha uku anapiga miahyo??ki ukweli wangepeana muda ilo zoezi kama lipo litakuja. Ukiona mdada ana wasi wasi wa kuolewa ujue ni hatari, atakimbia uku ampe uyu,then anaona apa sipo,anaenda kwa gsana,anaona siko ,anarudi kwa juma anaona siko,anasema sasa siolewi,wanaume wote si watu wazuri...what follows?depression,frustration n.k. Ivi hujiulizi kwa nini wadada warembo wenye kazi zao hawajaolewa na uku wadada wa kawaida ,wasio na kipato wanafaidi ?ni wale kujiona wajanja na kuishia kujaribu uku na uku. Ukipata ujumbe huu,tulia na wako,ila kama una hamu ya kupata mwingine kuwa muwasi si kumtaftia mwenzio sababu.

Ndoa ni shela?Ndoa ni kunywa na kula na.kusaza?!Naona huelewi maana hata ya ndoa.Mtu kaeleza vizuri lkn hupendi kuelewa naona ntakesha nakuelewsha hapa.. Baadae dada wa watu akitendwa mje mseme mjinga...
 
to be short uliyosema mimi najibu ndio. Kwa kuwa kama ayo uliyosema, je ndoa ni ndugu?ndoa ni kujitangaza?basi umejijibu...ndoa ni ya watu wawili waliobaki ni mashaidi. Ivi ndoa ni kuleta watu waone?kama si ivo basi hamna haja ya mengine...usipende watu wakulaghai, unaweza kutambulishwa bado akaolewa mwingine asiyewai kutambulishwa.
Kuna rafiki yangu alishatambulishwa kwao alafu miezi kama minane akasikia harusi, karibia azimie...msipende kudabganywa bhana,alafu Hadija anasema kazi hasa ndo tatzo,inakuja kweli...asante,usichoke kunielewesha.
 
Duuuu..Haya bana..
 
wanaume msiteee jamani.huyo bwana ni mvivu.hata kama una elimu yako,fanya kazi ambayo ipo chini ya elimu yako.maisha magumu,baadae utatafuta kazi kulingana na elimu yako.halafu huyio mdada kinachomrudisha nyuma,hata ndugu zake hawatambulishi.kwa nini?(angemridhisha japo kwa hilo)huyo bwana ana mahesabu yake.

mimi si kuwa natetea ila kuna haja ya kuangalia hali ya mwenzio, vipi na binti hadija akisimamishwa kazi, naye achukiwe na mwenza?hapana, wasaidieni waume zenu, wanaume tupo makini sana jamani.
 
mimi si kuwa natetea ila kuna haja ya kuangalia hali ya mwenzio, vipi na binti hadija akisimamishwa kazi, naye achukiwe na mwenza?hapana, wasaidieni waume zenu, wanaume tupo makini sana jamani.
Umeamua kutokuelewa lakini ukiamua kuelewa ujamuelewa hadija na zion daughter. Binti ana wasi muda unaenda(kiumri) haolewi ili waanzishe familia,jamaa anachagua kazi sii kwamba hapati hapo ingekuwa habari nyingine,jamaa kicheche. Jamani tusidanganyane hata tulio katika ndoa tunafahamu kipato kikipungua lazima mtayumba kidogo. Msichangie mada kama nyumba zenu zimesimama sana. Najua kila mtu anajua yanayoendelea kwake.
 
Mwanaume ninae ishi nae nilikutana nae chuoni na alinisaidia sana kuanzia kimasomo mpaka matumizi yote.Hatujafunga ndoa. Baada ya chuo tuliajiriwa kwenye mashirika tofauti kazi ambayo naifanya mpaka sasa. Mwaka mmoja baada ya yeye kuajiriwa aliachishwa kazi kwa tuhuma ambazo hajaziweka wazi kwangu.
Mimi ndiye mfanya maarifa sasa. Kuanzia tule nini mpaka tuvae nini na ela ya bia nampa.Ameitiwa kazi nyingi ila hataki anasema ana mpango wa kuwa mjasiriamali dalili sizioni.
Nikifikiria hajanioa na nikimwangalia hana dalili hata ya kunikutanisha na watu wa kwao naona napoteza wakati.pia ukimwambia suala la ndoa anakuwa mkali hataki kusikia. Naletewa habari zake nyingi mbaya naogopa kumwambia tuachane kutokana na hali aliyonayo sasa. Amenilemea jamani. Nashindwa nifanyeje. Nakumbuka alivyokuwa msaada wangu nashindwa kumuacha.
Nakosa hata hamu ya mapenzi kwake. Namuona wa kawaida sana hana jipya.
Natamani apate kazi atakayoipenda(maana anachagua kazi na mahali kwa kisingizio cha ujasiriamali) ili hata nikimuacha asiwe na lawama. Kwa ukweli nilishamtoa rohoni siku nyingi nipo nae apate tu riziki yake anitoke.
Mwanaume wa kulala mpaka saa nne asubuhi!! Amenichosha jamani.!! Ananipotezea muda naona.
Naombeni ushauri ndugu zangu.

ni wanaume peke yake wenye roho nzuri hapa duniani, just imagine wanaume wangapi wanaishi na wanawake magori kipa...ila ole wetu tuteteleke kdogo tunakiona cha mtema kuni.
 
ni wanaume peke yake wenye roho nzuri hapa duniani, just imagine wanaume wangapi wanaishi na wanawake magori kipa...ila ole wetu tuteteleke kdogo tunakiona cha mtema kuni.
Au ni wanaume wangapi ambao wanaishi na wanawake wanaofanya kazi, na hela ya mwanamke haionekani nyumbani, kila kitu mume ndie anayegharamia. Yake yake, yako yenu.
 
Hilo shirika unalofanya nalo kazi lina matawi?Kama ndiyo,basi tafuta uhamisho umwache hapo room,kodi ikiisha ndiyo akili itamjia.Atachaguaje kazi wakati hana hata sehemu ya kujishikiza?
 
Usimuache pls, inatia huruma by the way thz time hana hata kazi, na hata akipata kazi usimfanyie ivyo, kaa nae chini umuulize mustakabali mzima wa maisha yenu unakuaje? Ni hayo tu. Ova
 
Sikiliza moyo wako mama.. Kama huna mapenzi nae tena (ukichilia hali aliyonayo kwa sasa) ni bora mzungumze kwa kina muamue moja.

Usije hapa kesho unalia alikaa kwangu, nikamlisha, bia nikampa na kaoa mwingine..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umeshapata mwingine ndo maana amekutoka rohoni,Ushauri wangu usimuache mwenzio katika hali yake aliyonayo sasa ataumia sana.
NB;Enyi wanaume wa kibongo huwa tunawapenda kwa status flani ikiwemo fedha,kazi,akili darasani tofauti na nyie mnatupenda kwa appearance i mean hips,weupe,chuchu,ta.ko n.k so kiufupi huwa mna mapenzi ya kweli ila sisi tukiona vitu flani tunavyovitegemea vinayayuka na penzi linapotea huo ndo ushetani wetu ulivyo.Nasema hivyo kwa sababu we angalia situation au uhusiano mwingi unawezekana kuona mwanamke hana kazi mwanaume anayo kazi hapo huwa hakiaribiki kitu ila iwe vice versa inakuwa tabu sana uhusiano kuendelea vizuri na hii inatokana na sababu kubwa ya wanawake wanaojiona warembo kuwa tegemezi na kuutegemea uzuri wao uwatoe maishani.Na hii inapelekea wanaume watutese na kutunyanyasa.

una akili sana
 
Back
Top Bottom