masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
- Thread starter
-
- #81
However you term it, I have a problem that needs advice.I mean wewe una mpenzi ile seriously ambae uko nae unahisi yeah huyu iko siku
atakuwa wife au wewe still ndo wale kina HIT and RUN!!!!!!!
However you term it, I have a problem that needs advice.
Ooooh sikuelewa swali lakonimekuuliza swali wewe una mpenzi kati ya hao ambae una malengo nae!!!!!!!!!!!
sasa hato ya however n nini sijui yametoka wapi
ha ha ha ha..., you made my day mkuu. umechora papuch kutumia mihela...
Ooooh sikuelewa swali lako
Yes yupo mmoja nina mapenzi naye ,tena ya dhati.
Ila siruhusiwi kumwoa-wajua tena dini yetu si kama ya wenzetu.
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.
Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.
Mkuu you may be right!!!Hiyo ni dalili ya kwamba wewe una akili za chini ya wastani, yaani IQ ~ 80!Wastani wa
kawaida ni kuanzia 90-100 mimi ni 128!
Watu wengi wenye uwezo mdogo wa kiakili kama huo huwa wana tabia ya kuongeaongea sana na mara nyingi huwa wana shamiri sana katika mambo kama hayo ya kupata wanawake wengi au kukubalika na wanawake wengi wazuri kwa maana huwa wanaongea mambo yasiyo na maana kama kuchekesha chekesha na hivyo kuvutia wanawake walio wengi!
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.
Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.
Mkuu you may be right!!!
Habu angalia wanaokuzunguka, ni watu kama mimi, watu wenye low IQs
Lakini hebu watazame vizuri, utagundua kuwa wana fweza ya kukuzidi wewe na wengine wa aina yako, na hii ni kwa vile wana rely on good and tested common sense.
I bet, youve never tasted money worth an integer with seven digits, lawfully earned have you?
Sasa endelea kukamata chaki, ili uendeshe maisha yako, thats where high IQs always end up.
Mkuu nakubaliana kabisa, soma stori nxima ujue tatizo langu liwapi, halafu ushauri.Miongoni mwa wenye matatizo ya akili na ww ni mmojawao, uahitaji matibabu.
Mkuu kijakazi wa II sasa naona umenielewa, wewe bado mtu wa matatizo sema tatizo lako la kipato ni tofauti kabisa na la kwangu.Mimi kwangu hela sio ishu kihivyo nimeridhika, naishi Upanga kwenye nyumba ya msajili ambayo ni kwangu, kila mahali ninaweza kwenda kwa miguu kama nikitaka hata kwenye harusi zenu za ma-low IQs diamond huwa natembea tu, kariakoo natembea nikitaka, baharini kupunga upepo kwa miguu tu, huduma zote za kibenki na kiserikali nakwenda kwa miguu tuu sijui foleni, na hapo hapo kama mchango wangu najitolea kuwafundisha watoto washule za sekondari wanaotoka familia masikini, Hisabati na Fizikia bila kipato chochote na furaha yangu ni pale matokeo yanapotoka nakuona wamefaulu sana hasa ukichukulia wengine walikuja kwangu wakiwa wana ufahamu mdogo sana wa Fizikia na Hisabati, hivyo nina maisha mazuri sana tu!
Isitoshe ningetaka utajiri nimeshafwatwa na watu wanataka wanipe mpaka milioni 600 niwaachie nyumba ya Msajili Upanga nimekataa, hivyo pesa sio kila kitu!
Nilikuwa nakutegemea sana kunisaidia katika hili, mbona umekatika?haya kaka killa la heri usolve hili tatizo