Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.

Tatizo ni hilo domo na sikio la Avatar yako, jinsi lilivyokubwa halioni tabu kutongoza na hiyo misikio ikisikia sauti ya kike inashawishi domo litongoze na ndio sababu ya kuishia kuzini nao hao wadada.
 
Acha kutongoza utakufa na gonjwa la ukimwi zinaa ni hatari Sana
 
Mkuu mzigo wa mwenzio gunia la sufi.
 
Tatizo ni hilo domo na sikio la Avatar yako, jinsi lilivyokubwa halioni tabu kutongoza na hiyo misikio ikisikia sauti ya kike inashawishi domo litongoze na ndio sababu ya kuishia kuzini nao hao wadada.

Hilo domo na sikio kwa kweli badala yake imekuwa kichicheo, nitajitahidi kufanya plastic surgery lakini mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi!
 
Wewe ongeza speed hiyo haitoshi!! tena sasa hamia kwa wake za watu ndo watamu na hawakatai= DEATH!!
 
mkuu is this you??
Mkuu usione watu tuna vaa suti na kendesha magari ya thamani, kumbe tunaficha udhaifu wetu tu.

Binadamu tuna mapungufu mengi tu, wengine ni mafundi wa kuyafunika lakini mimi nimeamua niyaseme maana yatanito roho.
 
Embu mtongoze Lara 1 ukimpata ndo nitajua kweli we nouma.Isijekuwa unatongoza vitoto vya primary halafu unakuja kujisifu hapa.
 
jitaidi kuchagua m1 maana unakoelekea tutakuchimbia kaburi bwanah ww
 
Owa wake wanne, watakutosha kukuendesha mbio za kutosha hata hutokumbuka tongozi!
 
Mtani jitoe kwenye pyrol ya buku 7
ukiwa huna kitu hawatakukubali
 
Bwana mdogo machangudoa hayatongozwi, kwa sababu pochi unayo machangu kwako ni nyumbani.....endelea kununua ngwengwe!
 
Mkuu usione watu tuna vaa suti na kendesha magari ya thamani, kumbe tunaficha udhaifu wetu tu.

Binadamu tuna mapungufu mengi tu, wengine ni mafundi wa kuyafunika lakini mimi nimeamua niyaseme maana yatanito roho.

I mean wewe una mpenzi ile seriously ambae uko nae unahisi yeah huyu iko siku

atakuwa wife au wewe still ndo wale kina HIT and RUN!!!!!!!
 
huwa unatumia kinga wakati unatongoza?
mmmh hii imekaaje au ulikuwa unamaanisha anatumia kinga wakati ana do kwenye hiyo sita kwa sita...! Kinga ya Kutongoza ipo?
 
Tongoza Wanafunzi ndipo utakuja pata dawa ya kuacha ukinaswa... na mkono wa kikwete
 
mmmh hii imekaaje au ulikuwa unamaanisha anatumia kinga wakati ana do kwenye hiyo sita kwa sita...! Kinga ya Kutongoza ipo?
Shauri juu ya kinga ya kutotongoza!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…