masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.
Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.