nishaurini jaman

nishaurini jaman

samaika

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
22
Reaction score
1
hivi ni sahih kushka simu ya mpenz wako na kukagua? pia kufaham mshahara anaopokea ni vbaya as long as mna future?
 
Kuanza kuvaliana chupi sasa so long as mna future ni sawa? Jibu la hapa ndio jibu la swali lako!
 
hivi ni sahih kushka simu ya mpenz wako na kukagua? pia kufaham mshahara anaopokea ni vbaya as long as mna future?

maswali mengne bhana...anyway ukaguzi gani unamaanisha hapo?
 
Unakagua kwani wewe ni Phone Inspector?
 
U ar not faithfully
Elewa usipoaminika ndo anaanza hizo tabia na huenda una mchepuko na mshahara wako hauonekani kufanya chochote cha maendeleo
 
Utaja kufa kwa pressure,kwanza kukagua wa kagua nini unazani ni mahesabu kuwa wakagua yameenda sawa? hapo inaashiria humuamini
 
U ar not faithfully
Elewa usipoaminika ndo anaanza hizo tabia na huenda una mchepuko na mshahara wako hauonekani kufanya chochote cha maendeleo

samahan, maana yangu ni kwamb mfano wewe apo, upo bayana kumweleza mpnz wako mshahara wako ni kias gan? actual mi cna tatz na alpotaka kufaham wang nilimwambia ila nilpomuulza khs wake akasema ni siri yake ctakiwi kufaham. je ni sahih?
 
mambo ya kukagua simu mdogo wangu yanaletaga balaa na wakati mwingine unaweza kutana na vitu ndivyo sivyo vika cost relation yenu, mpaka utakapokuja kuelewa ukweli umeshaharibu kila kitu, na pia sizani kama uminifu wa mtu unapimwa kwa uchunguzi wa simu kama ni wako ametulia utajua tu kwa mwenendo wake na kama hajatulia pia utajua tu, swala la mshahara yeye mwenyewe ndo akwambie kwa ridhaa yake manake ukiuchunguza ukajua wakati yeye hajaridhia inakuwa bado haijakusaidia
 
kama mnapendana hamna tatzo.

Hili jibu limetoka kwenye roho yako au umejisemea tuu

Basi kama unampenda na mna future akikagua hakuna tatizo

Note; usipende sana kupekenyua simu za mpenzio or yoyote cos hiyo ni privacy yake
 
mambo ya kukagua simu mdogo wangu yanaletaga balaa na wakati mwingine unaweza kutana na vitu ndivyo sivyo vika cost relation yenu, mpaka utakapokuja kuelewa ukweli umeshaharibu kila kitu, na pia sizani kama uminifu wa mtu unapimwa kwa uchunguzi wa simu kama ni wako ametulia utajua tu kwa mwenendo wake na kama hajatulia pia utajua tu, swala la mshahara yeye mwenyewe ndo akwambie kwa ridhaa yake manake ukiuchunguza ukajua wakati yeye hajaridhia inakuwa bado haijakusaidia

ooh thanx mam, ila mpk kufka ha2a ya kupekenyua cm yake ni bda ya kuona changes, ndipo nikaamua kufanya uchunguz wa karbu ambao ndo huo
 
samahan, maana yangu ni kwamb mfano wewe apo, upo bayana kumweleza mpnz wako mshahara wako ni kias gan? actual mi cna tatz na alpotaka kufaham wang nilimwambia ila nilpomuulza khs wake akasema ni siri yake ctakiwi kufaham. je ni sahih?

Don't expect love in return wewe ulimweleza kwa lengo la kutaka kujua salary yake.hilo ni kosa
Kama umempa taarifa na yeye akakataa kukupa zake.jua kuna tatizo kwenye penz lenu
Soma alama za nyakati

Mimi sitakagi pressure na simu wala mshahara wa baby kujua or kukugua.
 
Back
Top Bottom