nishaurini jaman

nishaurini jaman

ooh thanx mam, ila mpk kufka ha2a ya kupekenyua cm yake ni bda ya kuona changes, ndipo nikaamua kufanya uchunguz wa karbu ambao ndo huo

umegundua nini baada ya kuichunguza?
 
Mbona nyuchi mnakaguana tatizo lipo wapi kwenye kukagua simu???
 
Wenzio wanavaliana hadi g string nini kukaguana simu? benteke
 
Last edited by a moderator:
ukague nn si kila mtu anasimu yake alafu eti mshahara kipindi nasoma hadi asubuh ulikuwa ubayako wewe mshahara mfyuuuuuuuuu!!!!!!
 
Back
Top Bottom