Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

kama unataka simu kweli usinunue samsung. Vuta kitu cha iPhone..... Ipo smart in design na performance. Achana na android hiyo ni buggy OS
You are not serious
 
Ni pesa yako tu iphone 4s.4.5 beiyake imechangamka mkuu nakushauri ununue iphone lakini makesure ni orijinal coz samsung an copy sytem adi function so au htc nexus hiz ni cm za google kwahiyo unapa mabo yote yakiwa bultin√
 
tafadhali wakuu naombeni ushauri kati ya hiz smartphone iphone and samsung galaxy, alf nasikia sina huakika ni kweli et kwenye iphone kila software ukitaka kudownload lazma uripie. msada please wadau.

Si kila software lazima ulipie. iPhone ina free apps na apps za kulipia. Tofauti ya iPhone na Android ni kuwa baadhi ya apps ambazo kwenye android utazipata free kwenye iPhone unaweza kuzipata kwa kulipia. Moja wapo ya apps hizo ni WhatsApp ambapo kwenye Android ni free lakini kwenye iPhone lazima ulipie.
 
Not convincing hata android after a year you will end up buying what's up if or fair...I do recomend I phone but 5 and above because iOS 7 makes apple more amazing in everthing thanks to apple it feels new.....so go for t sumsung is good also but it having poor quality and too plastic I hate this apple feels more premium and quality dats y it is sold expensive..
 
mkuu kwa simu ni procesor. ila huangalii tu clock speed (mfano 2ghz, 1.6ghz ) bali unaangalia pia aina ya hio processor

mfano processor maarufu ya mwaka jana ya qualcom snapdragon s4 inasuport 3g speed kuanzia 21mbps na kuendelea. hii ina maana hata ikitumika kwenye simu ndogo na clock speed ya 1ghz still speed ya internet itakua kubwa.

processor za simu zinapack vitu vingi hadi receiver za fm radio.

mambo ya ram yanakuja kutokana na browser unayotumia. kuna browser ni nzito na nyengine nyepesi. mfano operamini ni nyepesi hata simu yenye ram 32mb inakubali ila opera mobile, chrome, safari, internet explorer ni nzito ila zirun smooth atleast ram 256 kuendelea.

vipi ac browser iko faster au slow
 
Daaah yani Samsung unaifananisha na Iphone? Your not serious, tatizo liko kwenye hiyo OS ambayo daah lets say kanyaga twende coz ss hivi kila simu ni android hadi michina, mwaka wa sita huu niko na Iphones na sijajuta bado


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Daaah yani Samsung unaifananisha na Iphone? Your not serious, tatizo liko kwenye hiyo OS ambayo daah lets say kanyaga twende coz ss hivi kila simu ni android hadi michina, mwaka wa sita huu niko na Iphones na sijajuta bado


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Kila mtu na satisfaction yake kama mteja,wewe unaangalia kujitofautishawa juu na wachini japo mpo ardhi moja.andoid ndio msimu wake acheni kila mtuaitumie bila kijali ni mchina au original.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom