Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

Nishaurini ipi bora kununua iphone au samsung

tafadhali wakuu naombeni ushauri kati ya hiz smartphone iphone and samsung galaxy, alf nasikia sina huakika ni kweli et kwenye iphone kila software ukitaka kudownload lazma uripie. msada please wadau.

nan kakudanganyj..... hamnj kitu kama hicho...... then hata kwenye samsung kuna software znauzwa na nyngne ni free na hata i phone ndo hvo
 
Samsung ni bora zaidi ya iphone, kuanzaia ukubwa wa screen, wingi wa applications, wingi wa processors, pia Samsung zina slot kwa ajiri ya storage iphone haina. Samsung s4 camera yake ni 13MP. Battery life yake ni bora kuliko ya iphone, na vinginevyo. Kwa maelezo zaidi jaribu ku-google!
 
Nunua HTC ONE hakuna cha samsung wala iphone inatia pua hapo mkuu htc-one-veille.jpg
 
iphone 4s or 5 basi
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1372056242.528816.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1372056242.528816.jpg
    61.5 KB · Views: 529
Samsung ni bora zaidi ya iphone, kuanzaia ukubwa wa screen, wingi wa applications, wingi wa processors, pia Samsung zina slot kwa ajiri ya storage iphone haina. Samsung s4 camera yake ni 13MP. Battery life yake ni bora kuliko ya iphone, na vinginevyo. Kwa maelezo zaidi jaribu ku-google!

mkuu sasa hv playstore ina app 500,000 au 600,000 na possibly zikapungua zaidi google anapiga panga la kutosha kutoa apps za kipuuzi. kama 2 weeks ago alitoa app 60,000 kwa mkupuo.

at same time kwenye uzinduzi wa ios 7 walitoa list ya app kua sasa zimefika 900,000 so kwa upande wa apps iphone ana nyingi zaidi

kuhusu camera megapixel nyingi si quality ya camera kuna scenario kibao iphone 5 imempiku s4.

processor sio ishu na sababu zangu ni hizi.
1) asilimia 99 ya games na app maarufu zinatengenezwa kwa ajili ya ios then baadae ndo wanaziport android na wp ya mwisho

2) ios hardware zake na software zimetengenezwa na mtu mmoja ndo mana ipo smooth. kwa perfomance iphone inaperform kuliko samsung

kuhusu ukubwa wa screen nakubaliana na wewe pamoja na issue ya memory card
 
if u like something like toying,funny go for sumsung
if u like something classic go for iphone
 
Tatizo hapa anayetumia Iphone basi atatetea Iphone, anayetumia Samsung basi na yeye atatea Samsung......Inakuwa vurugu mechi tuuu.....

Tecno yatosha anyway...
 
Wakuu mimi binafsi si mtaalamu wa simu,lakini kwa ladha za utumiaji wa simu maoni yangu ni haya. Kwa smooth running of os and built in application, iphone wako juu. Mimi binafsi nina samsung galaxy III, vilevile nina ipad mini na nimechezea kidogo iphone 4,experience toka kwa hizi smartphone mbili na hii ipad mini nimekubali kwamba apple wako juu. Sababu kubwa imeshatajwa na mdau mmoja, ni kwamba apple wao wanatengeneza both hardware na software, hii kiukweli ni silaha tosha kwa device zao kuoneka za kipekee. Kama ingekua ushabiki, ningefagilia samsung maana ndio simu nitumiayo lakini natoa maoni kutokana na ladha nilizopata toka utumiaji wa hizi simu ingawa iphone 4 niliigusa kwa muda mfupi.
 
mkuu sasa hv playstore ina app 500,000 au 600,000 na possibly zikapungua zaidi google anapiga panga la kutosha kutoa apps za kipuuzi. kama 2 weeks ago alitoa app 60,000 kwa mkupuo.

at same time kwenye uzinduzi wa ios 7 walitoa list ya app kua sasa zimefika 900,000 so kwa upande wa apps iphone ana nyingi zaidi

kuhusu camera megapixel nyingi si quality ya camera kuna scenario kibao iphone 5 imempiku s4.

processor sio ishu na sababu zangu ni hizi.
1) asilimia 99 ya games na app maarufu zinatengenezwa kwa ajili ya ios then baadae ndo wanaziport android na wp ya mwisho

2) ios hardware zake na software zimetengenezwa na mtu mmoja ndo mana ipo smooth. kwa perfomance iphone inaperform kuliko samsung

kuhusu ukubwa wa screen nakubaliana na wewe pamoja na issue ya memory card

Mkuu mimi naomba nijue kitu kimoja kwa hizi smatphone kipi cha kuzingati ninapotaka kununua, hasa kwa mimi mpenzi wa internet.?

ROM
RAM
SPEED
CPU
OS
kifupi nataka kujua nini kinachofanya simu iwe na nguvu kwenye internet.?
 
Miye pia ninataka kununua samsung tablet au samsung note; tafadhali naomba ushauri ipi ni bora....naomba uniambia na model ambayo ni nzuri zaidi
 
Mkuu mimi naomba nijue kitu kimoja kwa hizi smatphone kipi cha kuzingati ninapotaka kununua, hasa kwa mimi mpenzi wa internet.?

ROM
RAM
SPEED
CPU
OS
kifupi nataka kujua nini kinachofanya simu iwe na nguvu kwenye internet.?

mkuu kwa simu ni procesor. ila huangalii tu clock speed (mfano 2ghz, 1.6ghz ) bali unaangalia pia aina ya hio processor

mfano processor maarufu ya mwaka jana ya qualcom snapdragon s4 inasuport 3g speed kuanzia 21mbps na kuendelea. hii ina maana hata ikitumika kwenye simu ndogo na clock speed ya 1ghz still speed ya internet itakua kubwa.

processor za simu zinapack vitu vingi hadi receiver za fm radio.

mambo ya ram yanakuja kutokana na browser unayotumia. kuna browser ni nzito na nyengine nyepesi. mfano operamini ni nyepesi hata simu yenye ram 32mb inakubali ila opera mobile, chrome, safari, internet explorer ni nzito ila zirun smooth atleast ram 256 kuendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom