90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 437
- 534
Wakuu habari zenu.
Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate credit za masomo ya physics na chemistry na bios, japo biology alipata B kwenye matokeo yake ya fm4. Anaweza soma QT abadilishe combination?
Msaada ajue afanyeje. Shukrani.