..inategemea shemeji yetu mdogo anashangilia timu gani!! 🙂
.. kama MSU, basi itabidi nawe ushangilie hiyo hiyo... wajua tena, wengi wape!
..kama anashangilia connecticut, basi upande wa wabongo mtakuwa wengi, mshangilie Thabeet!!
..ukishindwa kabisa kati ya hayo mawili, nitonye, nitakujulisha namna ya kukorofisha mitambo ya tv kusiwe na ushabiki siku nzima, channel zote zibakie kuwa cartoon networks, au geographical channel-travel!!!