Nishakuwa kipusa!

whaaat? yaani nivea na ujanja wako ulikuwa unalisha dume? hiyo ada si ungemlipia mtoto yoyote yatima upate thawabu kwa Mungu jamani? unachop chop money kwa dent wa kiume? duuh pole aisee!
huyu ni ndugu shost tulikuwa tunamsaidia!!mimi nimlishe mwanaume nyoooooo
 
Dark City hiyo club yako itabidi unipe masharti yake kwanza kabla sijazamia huko kwa miguu yangu yote miwili.

Japo kijana kajieleza kidogo tu inaonyesha kwamba kakabidhiwa na mjomba wake
na kwa kumtakasa mjomba, house girl ameshashuhudia kijana akiingia kwenye geto/chumba
cha bi dada, kwa hali hiyo mjomba anazidi kutakasika,
kwa kumsaidia kijana inabidi mjomba amsaidie kupata chumba mbali na hapo wanapoishi kifamilia ili
asiwe maeneo ya home tu.

 
Last edited by a moderator:


Club yetu haina masharti ya kidogo...Ili mradi uwe mtu mzima mwenzetu, i.e wa 1947...

Kama unahisi haiko uko....unaweza pia kuwa mamber wa kuteuliwa kwa sababu unameet baadhi ya vigezo kama hicho nilichokionesha kwenye post iliyopita.....

Feel free to join...your subscription is fully paid for!!

Kuhusu huyo kijana, kapewa mzigo kuepusha kasheshe kwenye ndoa ya uncle...Ila kuna maswali mengi hayajapewa majibu..i.e huyo mke wako uncle anaishi huko mikoani au hapo walipo sasa ndiyo ikulu yenyewe? Halafu aunt wa ukweli aliondoka tar 28 March ya mwaka gani? Na atarudi lini?

Haya bwana, ngoja tusubiri part 2...lol!!

Babu DC!!
 
Asante kwa mwaliko
itabidi nikasome tena kitabu cha mfalme suleiman
ili walau nipate hata chembe ya hekima ya kuweza kuyamudu ya huko kwenye club.

pengine kijana akija atajibu haya hapa chini.

 
Asante kwa mwaliko
itabidi nikasome tena kitabu cha mfalme suleiman
ili walau nipate hata chembe ya hekima ya kuweza kuyamudu ya huko kwenye club.

pengine kijana akija atajibu haya hapa chini.

Take it easy..usiumize kichwa sana?

Karibu sana,

Babu DC!!
 
Dunia haiishi vituko! Kwahiyo hapo mhuni ni uncle wako au ni wewe na huyo aunt? Hivi kweli unaweza kugawana ukimwi na uncle wako?
Ama kweli karne hii wanaume wamekuwa wachache mno kuliko tunavyodhani!


 
Ndo maisha hayo... wewe endelea kugegeda hadi siku itakapokuwa iwavyo... wengi wanaokuponda hapa nao wamepitia huko huko...

Usisahau kuwa "WEWE NI MWANAUME"...
 
Na Kazi hutopata sasa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mmmhh hii thread ina upako naona hadi watu wananena tu hapa
Unajua nimekosa hata cha kuchangia manake hilo libaba linatakiwa lipigwe faini tu. Yaani ni lichafu hadi basi. Pengine huyo mdada ana ugonjwa ndio maana akajilengesha hata kwa huyu mkaka ili awaue ukoo mzima ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti. Mimi nilishaga acha kukaribisha wageni wa kiume nyumbani kwangu . Kama katoka mkoa itabidi atafute mahala pa kulala na muda si mrefu itabidi aondoke tu. Yaani wanaudhi hawa vijana wa kisasa sijui wana ninin tu.
 
jamani serikali inapigaa kelele, kampeni kila kukicha, jiulize mko wangapi? Uncle yako ushaambiwa ni MALAYA, kaacha mke kijijini ambako huwezi jua anko yako akiwa hayupo anatoka na nani. Aunt yako ata kufikia kulala na wewe manaake ni mtu Hatari ana wanaume wengine, wewe pia una mlolongo wa wanawake , wakati huo huo wajinga wenzako wanakwambia umu add na house girl, ndo mtapona na UKIMWI kweli? kumbuka hizi ni zama za vitu feki, kondom feki, ARV feki na nyie wenyewe ni feki, tulizana kijana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…