Tope
Member
- Jul 23, 2012
- 74
- 61
Habari wa na jf? Wanajamvi hali ya maisha yangu kwa sasa imekuwa tete. Tangu dec 2012 nipo jijini kwa uncle tumbo moja na mama kwa minajili ya kumsaidia katika shughuli zake za biashara na kusubiri kama nitapata ajira ya kueleweka popote pale. Uncle ana aunt tunayeishi nae japo hajamuoa na ukweli ni kwamba uncle anaye mke wa ndoa na yupo mkoani ambapo yupo huko tangu tar 28 march.Utata ulianzia pasaka ambapo uncle alipiga cm kuwa mimi na aunt tukale bata popote ameturuhusu. Kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya tuliamua kwenda bar jirani japo hatukukaa sana tukarudi home kama saa mbili tukiwa wazima. Aunt alinambia anamazungumzo na mimi tukawa tumekaa tunazungumza akawa anamsema vibaya uncle kuwa ni malaya mpaka akawa analia nikajitahidi kumbembeleza mpaka nikajikuta namkumbatia na kumshika shika mpaka mwisho tuka maliza na tukaingia chumbani kwake mpaka asbh sasa imekuwa kila siku nalala nae jana dada wa kazi karudi kutoka kwao Tanga usiku kaniona nimeingia leo kanitumia sms kanambia sio vizuri. Natamani kufa