Nishakata tamaa na kuoa

Kama umeshindwa kuoa basi olewa mkuu.

Sio kukata tamaa sema tu nimeshindwa kuoa

Usiogope mambo ni kujaribu.

Samahani ndugu, najua nimekukwaza ila najaribu kufikiria tofauti
Huu ni utani wa ngumi sasa šŸ˜…
 
hapana usikate tamaa, kitu kikubwa cha kuzingatia kabla hujaoa mwanamke ni hivi:
1) awe amelelewa na wazazi wote 2
2) awe anamheshimu mzee wake

ivi ndo vitu pekee unatakiwa kuzingatia kabla hujaoa vingine nyongeza
Mbali ya hayo pia awe anajielewa na hofu ya MUNGU iwepo ndani yake.
 
Pole, ila usivunjike moyo, kaa tulia muombe Mungu. Imani yako isife kwa sababu ya uliyokutana nayo.
 
Ndoa ni ujinga,walioanzisha huo ujinga walaaniwe!!!


Mimi huwa nikijiskia bored naita toto moja kali naenda nayo kwenye sehemu kali natumia pesa,anakula anajichekesha hapo mimi namchora tu,tunapiga stori za kijingajinga mwishoni namwambia twende room.Naichakata inapita hivi mimi napita vile,hapo nishashusha shida chini.Sitaki attachment mimi.

#NGUVU AMBAYO VIJANA WANAWEKEZA KUTAFUTA WANAWAKE NA KUWAKEEP MIMI NAPATA PESA NAZIWEKA SEHEMU SAHIHI NA KIDOGO NAKULA BATA LA KUTAKATA.

#MAPENZI NI KWAAJILI YA WATU WASIO NA AKILI TIMAMU.


#PESA ZANGU ZIPO UTT ZINASUBIRI NIKIZEEKA ZINIOKOE.WALE MNAOSEMA SISI TUSIOOA TUKIZEEKA TUTAISHIJE,NIWAAMBIE TU KUWA HUKO UTT NIMEWEKEZA KWENYE BIMA YA MAISHA.SO MAISHA NI BULBUL!!!!
 
Nenda zanzibar Au PEMBA kaishi KULE kama utaeleweka unaoa chapu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…