Habari wana jf
Mara nyingi neno nisamehe huwa linatumika pale ambapo watu wanapokua wametofautiana kauli sasa kuyamaliza kila mmoja wapo anaomba msamaha kwa mwenzie. Lakini mi hua naona linatumika vibaya pale ambapo una mgegeda mdada anakuambia bby nisamehe..na hi kitu imenitokea kwa wadada zaidi ya watano, sasa hua najiuliza nawakoseaga nini mpaka wananiambia niwasamehe. Hebu tupeane uzoefu na hili neno wana JF