Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
@SK2016 asante sana mkuuUlifanya makosa hata kumfokea. Kweli umefanya vyema kuomba msamaha.
Maana hata ungemueleza kwa Upole tu , angekuelewa sana. Tena ungeonekana mstaarabu pia.
Sema tu ni ile hali kila mtu akifika bar anapenda aoneshe Superiority yake.
Karibu sana Mfalme Nebuchadnezzer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo sitaoa?Ukitaka bikra iwaho kwa mtt wa miaka8 ila.kinywaj hauezi kukitumia
Siku hizi nyingi fake usijisifu sana, umekutana na mtoto wa mjini kakuingiza chaka[emoji3][emoji3][emoji3]Juzi bhana nilienda bar fulani kupata moja baridi (mirinda nyeusi). Ile naingia hvi, nakutana na rafiki yangu Thomas, ikabidi nijongee kwenye meza aliyokuwa amekaa akiwa na mkewe ( wameoana kama mwezi tu). Wakipata wine taratibu.
Ile nimekaa waitress akaja ili anihudumie, nikaagiza mirinda nyeusi. Then nikawa busy na chat na manzi flani hvi.Cha kustajabisha, waitress akaja na soda imefunguliwa tyari. Eti ,karibu. Aisee nilipandwa na hasira nikaimwaga chini ile soda. Kila mtu pale bar akashangaa!
Baadae nilimshushia maneno yule waitress mpaka akaanza kulia huku akipiga magoti kuniomba msamaha..akishika miguu yangu huku akinisihi nisiende kushitaki kwa meneja wake.
Kwa kitendo kile nilikosa amani kabisa na ile bar hadi Leo sitarudia tena kwenda pale.
Hebu fikria, unapewa soda iliyofunguliwa kizibo halafu hujua kaifungua SAA ngapi. Utajisikiaje?
Na nyie mliooa wanawake mkakuta hawana bikra amani mnaitoa wapi?
Nimewamiss JF wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Feki na original zinajulikana mkuu.Siku hizi nyingi fake usijisifu sana, umekutana na mtoto wa mjini kakuingiza chaka[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi bhana nilienda bar fulani kupata moja baridi (mirinda nyeusi). Ile naingia hvi, nakutana na rafiki yangu Thomas, ikabidi nijongee kwenye meza aliyokuwa amekaa akiwa na mkewe ( wameoana kama mwezi tu). Wakipata wine taratibu.
Ile nimekaa waitress akaja ili anihudumie, nikaagiza mirinda nyeusi. Then nikawa busy na chat na manzi flani hvi.Cha kustajabisha, waitress akaja na soda imefunguliwa tyari. Eti ,karibu. Aisee nilipandwa na hasira nikaimwaga chini ile soda. Kila mtu pale bar akashangaa!
Baadae nilimshushia maneno yule waitress mpaka akaanza kulia huku akipiga magoti kuniomba msamaha..akishika miguu yangu huku akinisihi nisiende kushitaki kwa meneja wake.
Kwa kitendo kile nilikosa amani kabisa na ile bar hadi Leo sitarudia tena kwenda pale.
Hebu fikria, unapewa soda iliyofunguliwa kizibo halafu hujua kaifungua SAA ngapi. Utajisikiaje?
Na nyie mliooa wanawake mkakuta hawana bikra amani mnaitoa wapi?
Nimewamiss JF wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile ni dharau utanipaje soda iloyofunguliwa? Huo ni sawa na uuji tu.Tsh 500 tu ndo umtukane waitress wewe utakuwa ulikuwa na stress zako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu...usalama ni hitaji muhimu sana.Hongera kwa uamuzi huo Mkuu. Juzi kati nilikaa bar moja huko mikoani kwetu nikaagiza maji makubwa,wakati naendelea kunywa kausafiri kangu kalikokuwa car wash jirani na bar hiyo kakaanza kupiga alarm, nikamuomba muhudumu aniangalizie kinywaji nikaenda kuzima alarm. Niliporudi nikawa na mashaka kidogo juu ya usalama wa yale maji lakini nikachagua kuzipuuza hisia zangu,nikapiga funda moja la wastani nikajisikilizia. Ndani ya dakika tano kizunguzungu cha kilevi kikanipata, akaja brother mmoja akaomba akae kwenye meza yangu nikamruhusu lakini nikahisi ana connection na muhudumu niliyemwachia kinywaji. Faster nikabeba yale maji nikaelekea counter nikalipia then nikaenda kukaa kwenye benchi la car wash huku kaulevi kanazidi. Nilikaa pale kwa muda sana hadi hadi nilipojisikia haueni nikachukua chuma yangu nikatembea maji nikayaacha nyuma ya benchi. Nilikokuwa naenda ni mbali nimetembea kama km 30 hivi ikaja gari ndogo ikapita kwa kasi, hisia zikaniambia jamaa wanafuatilia ufanisi wa kilevi chao. Nilichofanya nilihakikisha hawaniachi zaidi ya mita 500 tumefika kwenye mlima speed yao ikapungua mimi nikaingia overdrive nikapotea kwa kiwango ambacho sikuwa naona taa yao nyuma tena. NB: Watu siyo wema, usalama wako ni jukumu lako mwenyewe.
Sasa Sweet16 unataka nitunge zisizo za kawaida kama za kina Kiduku na Rutashoborwa?Nebuchadinezzer unaniachaga hoi na stori zako za maisha ya kawaiiiiiida waaaiiii
Duh emotions zilizidi reasoning mkuuUngemwambia hii kunywa wewe kaniletee ingine ila usifungue huku unatabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..Na nyie mliooa wanawake mkakuta hawana bikra amani mnaitoa wapi?
Sawa mkuu ila bikra ndo kipaumbele changu.Duuh..
Haya mambo hayana kanuni, unaweza kuoa virgin ukasalitiwa mwamba.
Alie oa alietumika anaweza kutunziwa heshima kuliko matarajio.
Ndoa na kifo vina siri kubwa.