Siku hizi humu ni msimu wa kulavuana tu!
Huyo mililita sijui kilolita aliwekaga uzi hapa oh nataka kumuoa huyo bibie vai!wakacharurana weeee binti akahitimisha SIKUTAKI!
Leo asbh kaamka na sredi oh nimetoka kutoa posa jiandaeni na harusi,weeeeeeeeeh!kimemuwakiaje !mwisho oh mi natania jamani!
Mfyyuuuuuuuu unaanzaje kumtania mtu usiye na utani nae?
Ndo anatolewa kucha bila PF3 huko!
Ok sawa lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka .au it feels like you are the one in love!!
msitiri mwanaume mwenzetu usimwage chochote dada yangu.Kuna vitu vingi hajaviongea hapa ila kama anatafuta huruma flani hivi..
Ila yeye kama kaamua kumwaga mboga msilipizi kwa kumwaga ugali hata siku moja
Kuna vitu vingi hajaviongea hapa ila kama anatafuta huruma flani hivi..
Ila yeye kama kaamua kumwaga mboga msilipizi kwa kumwaga ugali hata siku moja
Asingeweza kutumia Id yake sababu anajua kuwa ni kimeo ..wangelipuka watu hapa pasingekalika
At least umekuja labda tutafikia muafaka
nakupenda Rapunzel I real do
Ni vyema umekuja....haya tupe ur side of the story sasa ili tutoe ushauri nasaha
Enheeeeeeeeee hapa sasa wangoni tunasemaga zikongini!.Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???
At least umekuja labda tutafikia muafaka
nakupenda Rapunzel I real do
Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???
.......... hapa pa kuunganisha dots ni watu8 tuuuu anaweza kunipa maakili!Yaani angekuja na id yake anayoitumia ningeweza sema kitu hapa.
Maana ni mtu maarufu hapa mpaka wengine wanmfungulia topic za kumsifia ila kwa hili wacha libaki hivi hivi
Hebu weka id yako ya zamani halafu nitakubembelezea.
Asingeweza kutumia Id yake sababu anajua kuwa ni kimeo ..wangelipuka watu hapa pasingekalika
mmmmh!!!!! Another case!!
Makubaliano yetu yalikuwa nje ya Jf sipendi show off za kijinga na tulikubaliana hata kama tutapigana mangumi iwe out of Jf ..we umefanya nini hapa???