Hata yeye amebadili username muda Kidogo waliokuwa wanamfahamu kwa jina la zamani hawamjuhi kwa jina la sasa
He he he, hijaona kwenye sred uloanzisha nimemwambia lara 1, ukimshinda atuite tukusute na bisibisi?
JF ni a very serious business to some.
angetumia tu i.d yake ya zamani...
hahahaha!!! Dah lilintamanisha ujue !!pilau lenyewe hadi pasaka afu mi naliona akaa!!
Ahahahahaha we sasa ulivolisema huku umezid kuumiza mbavu zangu!
Ile sredi natamani iwekwe sticky!
Paw puleeeez!
Nami nataka kujua Kama ananitafutia sababu au la! kuliko anavyoninyamazia kimya it's killing me insideOk sawa lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka .au it feels like you are the one in love!!
Heh! Kunani tena shosti?
ni vyema ukiongea nae ili ujue yanayoendelea…unataka kupoteza muda wako kwa mtu ambae hajali hisia zako na uwepo wako?mtu wa aina hio hata mkifunga ndoa atakuburuza sana tu kwasababu anajua unampenda mnoo….humanbeings are selfish...Nami nataka kujua Kama ananitafutia sababu au la! kuliko anavyoninyamazia kimya it's killing me inside
Siku hizi humu ni msimu wa kulavuana tu!
Huyo mililita sijui kilolita aliwekaga uzi hapa oh nataka kumuoa huyo bibie vai!wakacharurana weeee binti akahitimisha SIKUTAKI!
Leo asbh kaamka na sredi oh nimetoka kutoa posa jiandaeni na harusi,weeeeeeeeeh!kimemuwakiaje !mwisho oh mi natania jamani!
Mfyyuuuuuuuu unaanzaje kumtania mtu usiye na utani nae?
Ndo anatolewa kucha bila PF3 huko!
ID ya zamani iliyo ughaibuni, afu masuala ya charity, kiyatima zaidi, eeeeh:A S 39:, Rapunzel has been exposed.
Ticha ukisamaraise utamaliza utamu waaache waende
Hakyamama kama ni video ya wimbo,JF sa hiz ni video ya Thriller!
Bora hatukuondokaga mwayego!
Ahahahahaha najua huyo shosti angu akiamuaga kuwa kilaza!
Nimemrahisishia kazi!
mi mwenye mecheka hadi basi.pilau lilikuwa tamu lile jamani!!
Rapunzel pls ebu njoo utoe la moyoni labda roho yangu itatulia
Unadhani ni ID fake tu? Unaanzisha sred, afu unapigia mashosti zako simu waje kukoment ili kumchamba fulani.
Duh... Ndefu sana ntasoma baadae!!!
angetumia tu i.d yake ya zamani...