peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,043
- 31,150
Kwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyoWewe mburura nenda kwanza kajiandikishe MEMKWA ili ukiandika tukuelewe. "Kupiga kula" ndiyo nini?
Mtu wa Darasa la 7 B, ukija JF utajidhalilisha tu, bakia Facebook tu kwa wajinga wenzio
ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hiloIkiwa hauko informed
ni ngumu sana wewe kutoa ufafanuzi kuhusu hiloIkiwa hauko informed
Hivi,mfano. Ukiwa na mali,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula na kumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?Angekutia ukilema wewe hapo au kufilisiwa kwa hila, usingesema haya
Rudi ujifunze kuandika mali badala ya mari, utajusaidia kujua maana ya hilaHivi,mfano. Ukiwa na mari,usizoweza kueleza upatikanaji wake,unadhani utaeleweka vipi? Je,unapokuwa katika nafasi inayokuruhusu kuhujumu,usiguswe? Je,mwenye kufilisiwa kwa hila, unakula nankumwaga,wenzako hawana hata maji tu! We mtu gani?
Vizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.Nini kukumbukwa?. Kwani Iddi Amini na Mobutu hawakumbukwi? Au Adolph Hitler na Benito Mussolini hawakumbukwi?
Suala unakumbukwa kwa kitu gani. Mimi nitamkumbuka Magufuli kwa kujenga Airport kijijini kwake na sasa imebaki useless kama Gbadolite ya Mobutu. Nitamkumbuka pia kwa kutuma kikosi cha Makonda kwenda kumshambulia Tundu Lissu.
Na nyie wajinga mna yenu ya kumkumbuka
Facebook Libya wajinga kama wewe MnachihanguuuKwamba wewe una akili sana kuwazidi watu wote wanautumia Facebook? Wewe ni mwehu kuliko huyo
Nenda mpaka kaburini kwake Chato, usitupotezee muda kuna mambo ya muhimu ya kufanyaVizuri kabisa kila mtu ana sababu zake kumkumbuka hivyo sioni haja wewe kuchukizwa na kutokwa mapovu kwa wengine wenye sababu tofauti na zako za kumkumbuka Magufuli.
Kikubwa umeelewa nachomaanisha.Rudi ujifunze kuandika mali badala ya mari, utajusaidia kujua maana ya hila
KMfufueni aje ajenge. Serikali ni endelevu hata SSH asipomaliza wanaokuja watamalizaUjenzi wa SGR Dodoma - Makutupora wasitishwa
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.Any chama gani unaongelea maana mie niko chamaless
SAWA. Kama huna chama, lakini una mtu, anayefanana fanana na huyo unayemlilia sasa, komaa na huyo mtu ajitokeze na uungane na wengine kumtia moyo.
Haitoshikubaki mnalialia pembeni huku mkiona aliyosimamia kiongozi kipenzi wenu yakivurugwa.
Hapana, hiyo ni hatua ya baadae sana mkishajipanga vizuri kusimamia hoja zenu mnazozisimamia, ambazo ndizo kiongozi wenu pia alizisimamia.Sasa wewe kwahio unataka tuandamane au
Akienda Lissu inatosha sio mpaka tuende wote.Nenda mpaka kaburini kwake Chato, usitupotezee muda kuna mambo ya muhimu ya kufanya