Nisamehe popote ulipo

Yan Unamsevu mzinguaji kisha unataka akupe mapenzi? Akikunyima unaanza kuonaa umeletewa tabia za ajabuajabu? dooh kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Alikuwa mzinguaji kweli hata aliyemuoa ana shida Mkuu.

Halafu nilikuwa namalizia mafao yangu man.
 
Alikuwa mzinguaji kweli hata aliyemuoa ana shida Mkuu.

Halafu nilikuwa namalizia mafao yangu man.
ukiingia Kimizinguo lazima utaletewa mizinguo, ujawai kuona kuna dem malaya sana ila ukimtongoza wewe anakukatalia?

Mwanamke akikuona michosho anakuletea michosho vilevile.
 
umenena vyema
 
ukiingia Kimizinguo lazima utaletewa mizinguo, ujawai kuona kuna dem malaya sana ila ukimtongoza wewe anakukatalia?

Mwanamke akikuona michosho anakuletea michosho vilevile.
Ndiyo maana nilimaliza maana alishawahi kuzingua sana.
 
"Three things in human life are important. The first is to be kind. The second is to be kind. And the third is to be kind."
Ila usiwe kind mpaka ukaboa.

Huo nao utakuwa uboya mkuu.
 
ila ulivyomsave si pouwa kabisa aisee.... hukufanya fair kabisa kumyima mtoto mzuri nauli .. mwenzio aliileta papuchi kwa roho nyeupe wewe ndiye uliyeharibu na kumsave lijina la ajabu badala hata uhakikishe papuchi inarudishwa kwao vizuri ukaiacha stand si pouwa kabisa aiseee...........
 
Mkuu kama uliwai kuitwa mwizi pole sana maana sipati picha ungekuwa ufahamiki ayo maeneo ungedanji kisa nyap**** very bad scene
 
mtani sana yani.. halafu yeye kunyimwa mzigo ni kwa sababu ya ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…