Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Kwa sekondari wale waliokuwa wakorofi ilikuwa lazima kujaradia /kusunda yani wanavalia kanguo kagumu ndaniMwangalie kwa makini huyo mtoto anayechapwa, inaonyesha wazi kabisa hizo fimbo hazisaidii kumrekebisha bali zinamuongezea hasira, ujeuri, kiburi na roho mbaya. Tafakari chukuwa hatua
halafu kanaonekana ni katundu sana hako katoto, katizame macho yake.
Baada ya hapo utasikia fulani leo katinga nyekunduNahisi dogo atakua kawawekea kioo chini hao warembo halafu akawachungulia pichu zao ......ndio maana wakaja kushtaki kwa ticha. Nilikamatwa na kiooo nikala bakora just the same kwenye hio scene hapo juu
halafu kanaonekana ni katundu sana hako katoto, katizame macho yake.
Hako kajamaa kalipaka ----- kwenye madawati ya hao mabinti wacha kale bakora