Nisaidiwe mawazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidiwe mawazo

Discussion in 'JF Doctor' started by Solarpanel, Oct 9, 2012.

 1. S

  Solarpanel JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mm ni mwanamke,nimeolewa,naomba msaada nifanyeje ili niinjoy tendo la ndoa,maana naona hufanya tu ili mume aridhike,japo yeye akinifanyia kitu kimoja huwa nafurah lakin ckipendelei sn weng wanaiita chumvini' je njia zngn tofaut na hyo ni zp?

  Ntafurah kwa mashauri chanya
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,026
  Likes Received: 2,647
  Trophy Points: 280
  Wakati ukiwa una du uwe unafumba macho na uhakikishe hauana shaka na kitu chohote,hakikisha mlango wa hiyo room mliomo umefungwa kwa funguo na mapazia au madirisha yamefungwa so that there won't be any interference,then mwache aendelee na hiyo chumvini yake ila ukianza kusikia wanakuja mvutie kwako ili aingie muanze kusukukumana bila kusahau kufumba macho.:tongue:
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Weka akili yako kwenye tendo na si kuwaza mambo mengine.
   
 4. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwenye red mimi bado kuelewa wewe! unafurahia halafu hupendelei?!
   
 5. S

  Solarpanel JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Stefot asante kwa ushaur km nilivosema ndio nafanya hayo yote bt ndo hivo cinjoy km wanavosema kufika mpk kwa hyo njia moja sasa je kuna nyingn ambazo zitanisaidia?,joseph nimeolewa co kwamba najiiba so huwa cwaz kitu,....fyong'oxi hapo namana kwamba huwa sipendelei na mara nying cmruhusu lakin inapotokea kumruhusu huwa nafurah..nadhan nimeeleweka sasa
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  bibie Solarpanel pole sana kwa hayo matatizo uliyo nayo mimi nitachangia kitu kimoja au vitu viwili. Kwanza kabisa ulikuwa umjibu Mkuu.@Fyong'ox kaweka rangi ya (Red) swali lake

  hujamjibu. jambo la pili ikiwa wewe hupendelee mume wako kuzama chumvini sasa katika mwili wako hujajuwa

  sehemu gani mume wako akikushika huwa unajisikia

  raha zaidi ya chumvini?Mfundishe mume wako akunyonye maziwa huku anachezea kinembe chako,mfundishe

  mume wako awe anakupapasa sehemu za siri kwa utaratibu sana huku akikunyonya ulimi masikio akikutia

  ulimi wake kwenye macho yako masikioni na kwenye tundu zako zote awe anakuchezea chezea mwili wako Mfundishe mume wako awe anakuramba shingo yako na awe anazichezea nywele zako utasikia nyege zinapanda juu na ndio
  kisha mucheze

  huo mpira wenu kisha uje hap utupe feedback.
   
 7. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Dada yangu Solarpanel, nikiwa kama JF Senior Sexpert, nakupa offer ya mafunzo ya wiki moja tu. Ni inbox venue yoyote ambayo ni convenient kwako tukutane nikupe mafunzo kwa vitendo bure kabisa!!!
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  mkuu Kana-Ka-Nsungu Mke wa mtu huyu kwanini humpi hapa mafunzo mpaka umpe mafunzo kwa vitendo? Unataka umuharibie ndoa yake bibie huyu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  SHOSTI NA STYLE YA KUKUFUKISHA (Kwa Wanawake)Tu.
  Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kutokana na ama kutojua staili au kuwafikilia zaidi wanaume wawapo kwenye majamvozi hivyo basi kwa kutambua hili nimeamua kuwadondoshea staili mojawapo itakayowafanya nyote mfurahie majambozi na nyote mvishuhudie vilele vya mlima kilimanjaro. Sasa endelea mwanawane na kama imekugusa achia comment zako:-

  Mkato wa kilokole uliorudufiwa

  Huu ni mkao wa kizamani ambao naaamini kila aliye na mpenzi ashawahi kuudadavua kunako majamvozi ndio! Nani anabisha na kwa taarifa yako huu ni mkao maarufu sana kwa mlo wa usiku ambapo mimi hupenda kuuita mkato wa kilokile hahahahh.

  Hata hivyo, mtumiaji wa mkao huu asipokuwa makini basi atajikuta akishindwa kumfikisha la azizi wake kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.

  Hivyo ili nyote muweze kufika safari yenu inabidi mwanamke awe makini kuhakikisha haachwi njiani na dereva (madereva wengi huwa na papara ya kufika kileleni na kuwasahau wenza wao) na mbaya zaidi huwaacha wakiwa na muhemko wa hali ya juu na hii ndio sababu mojawapo ya midume mingi kuliwa zao zabibu.

  Mwanamke anapaswa kuwa mwepesi ili aweze kupata raha ambayo wengi huishiwa kusimuliwa na mashoga zao na mbaya zaidi wengi huongeza chumvi kuwarusha roho wenzao! Wepesi utakuwezesha wewe mwanamke pindi utakapokuwa umelala kifo cha mende kuinua miguu yaki juu huku ikiwa imeyengeneza alama ya V huko dereva akiwa tayari kwa kuianza safari, taratibu kunja sehemu ya magoti kisha yapeleke magoti yako kifuani na ili usichoke ama kuumia kwa zoezi hilo basi egesha miguu yako kwenye mabega ya dereva wako.

  KWANINI UFANYE HIVYO?

  Mkao huu utamfanya dereva aweze kupachika gia apendavyo kwani kila atakapotupia gia mambo huwa shwari kabisa hivyo mwanamke anaweza kumuimbia ule wimbo ‘chukua chukua yote yako’ hahah watu wa enzi hizo wanaukumbuka mimi umenitoka ila leo nikienda baa mitaa ya kati nitamuuliza Dj ni wa nani wimbo huo kisha nitawanyetishia.

  Hapa dereva anaweza kupata nafasi ya kukanyaga krachi hadi mwisho na akitoka huko anasugua k.s.m. (unganisha herufi zilizomiss) na kusugua kuta za K hali itakayomfanya mwanamke ajisikie raha ya ajabu na mwisho wa siku mwanamke atakuwa mmoja kati ya wachache wanaofanikiwa kuviona vilele vya mlima wa kilimanjaro kwa kushiriki tendo la ndoa!

  KUMBUKA:

  Mazoezi ni muhimu ili kufanikiwa kumudu staili hii ambayo ni bab-kubwa, nimalize kwa kuwatakia kila la kheri katika kujaribu staili hii na kudadavua raha isiyo na kifani. Chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/64377-shosti-na-style-ya-kukufukisha-kwa-wanawake.html#post951455
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mbona unamijibia bana, offa nimempa yeye ni juu yake kuichukua au kuikataa! hata mie mume wa mtu babu...
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  sawa Kana-Ka-Nsungu just keep
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,055
  Trophy Points: 280
  Duh! Mkuu kana ka nsungu ulipotelea wapi!? Nafurahi kukuona baada ya miaka ya kupotea jamvini.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  mkuu BAK Mkuu Kana-Ka-Nsungu alipotelea 10 Dawning Street unamfurahia mtu ambae anataka kumtongoza mke wa mtu ahhhh mkulu BAk weeeeeeee
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,055
  Trophy Points: 280
  We vipi Banaa!!!? Kutongoza kwake mke wa mtu na furaha yangu ya kumuona haina uhusiano wowote....Acha hizo MM!! DuH!!

   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Bubu atakapo sema mambo yanapo mzidia...............................:biggrin:
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,055
  Trophy Points: 280


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh MziziMkavu hata pande hizi unautaalamu wa hizi tiba?!! hahaha.Tisha dr.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mkulu BAK nilijitoa kidogo manake hii JF ikuja kuwa a bit too much nikajikuta maisha yangu yote nayatumia hapa jamvini, shule na kazi navyo vilibana kwa sana. Ile JF yetu ya enzi zile ilikua ni rahisi kukeep up na kila thread lakini siku hizi ukipotea masaa tu you have lost everything!Nimerudi baada ya kuwa alerted kuna mtu anatumia jina langu humu. Hope upo powa kaka na nafurahi kuona bado unaendeleza libeneke mkubwa, tupo pamoja sasa.
   
 19. S

  Solarpanel JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana mzizi mkuu kwa ushauri mzur,mengi ya hayo ananifanyia mume wangu,ila nimetek point kuwa mengine nimuoneshe nitaufanyia kaz na nitaleta fidbak hapa....kana loh nilisema naomba ushaur sahihi huo wa kwako ni wa kejel cjaupenda na siko tayar,ona aibu badilika,....mzz mkuu nilimjibu mjumbe pale juu kuwa ciipend japo ikitokea nikafanya ndo naenjoy.asante
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,055
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kana-Ka-Nsungu unachosema ni kweli kabisa. Hapa mahala usipokuwa muangalifu mambo yako muhimu ya kimaisha kama vile masomo/kazi/ ya kifamilia n.k. yanaweza kabisa kuathirika kwa kiwango cha juu kabisa. Bora uliona hivyo mapema na kuamua kusepa.

  Kuhusu njemba kutumia ID yako hata mimi niliuona mchango wake kama sikosei last week, nikadhani ni wewe labda umeamua kuondoa avatar yako maarufu lakini nikagundua njemba si mkongwe kama wewe ndio alikuwa amejiunga hapa siku za karibuni.

  Haya Mkuu uwe na siku na kazi njema


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...