Nisaidiwe mawazo

Asante sana mzizi mkuu kwa ushauri mzur,mengi ya hayo ananifanyia mume wangu,ila nimetek point kuwa mengine nimuoneshe nitaufanyia kaz na nitaleta fidbak hapa....kana loh nilisema naomba ushaur sahihi huo wa kwako ni wa kejel cjaupenda na siko tayar,ona aibu badilika,....mzz mkuu nilimjibu mjumbe pale juu kuwa ciipend japo ikitokea nikafanya ndo naenjoy.asante
Mkuu Solarpanelninakuongezea ujuzi mwengine akufanyie mume wako nao ni hivi:
KUMCHEZEA MKE

Hakika katika jambo ambalo ni muhimu kwa mume kulichunga na kulilinda ni kumchezea chezea mke wake na haswa kabla ya kumuingilia, hili lina athari kubwa sana kati ya wanandoa wawili katika mahusiano yao ya kiroho na ya kijinsi.

Katika kufikia kilele cha raha ya kiwiliwili kunahitaji kwa mwanamme awe na diplomasia ili aweze kumpa mke wake hamu na matamanio ya kweli, na ushiriki mzuri ulio kamili na mapenzi yaliyokita.

Mke mwenye hekima anaweza kwa diplomasia aliyokuwa nayo na mapambo yake na usafi wa kiwiliwili chake kumvuta mume wake na kumtamanisha. Hivyo basi kumhimiza katika kuwasiliana kwa kiwiliwili vyao kwa urahisi na wepesi zaidi, mahaba siku zote yanatimiza furaha.

Ama kumuingilia mwanamke bila ya kuwepo vitangulizi huwa ni jambo lisilofaa na la kinyama la kutosheleza mahitaji ya mwanamme, kisha haupiti muda mrefu kamaliza haja na kukaa mbali ya mwanamke hali ya kuhema!.

Mwanamke siku zote hupendelea mumewe ashirikiane nae katika hisia zake kwa upole na wema na acheze nae kwa muda unaotosha kupandisha hamu na nyege zake. Na hivi vitangulizi vya jimai husaidia kuwafikisha wanandoa wawili katika utulivu kamili na hivyo kufikia kilele cha raha ya tendo la ndoa.



 
Last edited by a moderator:
Kuchezea Chezea Kinembe


Kinembe ni moja katika maeneo muhimu sana ambayo yanaamsha hisia za jimai kwa mwanamke. Kukichezea kwa mwanamme ni muhimu sana ili kusisimsha hisia za kutamani kuingiliwa kwa mwanamke. Jinsi ya kukichezea inatakiwa iwe kwa upole na uangalifu mkubwa. Kinaweza kuchezewa kwa njia ya mkono au kwa njia ya kichwa cha dhakari ya mwanamme, na baada ya hapo ndipo anapoweza mwanamme kumuingilia mkewe na kukamilisha haja na matamanio yao.

Hali kadhalika inapendeza zaidi kwa mwanamke kuendelea kuchezewa kinembe hata baada ya kuingiliwa au Jimai kumalizika ili kumsisimsha zaidi na hivyo kufikia kileleni kama bado hajafikia alipokuwa akiingiliwa na mumewe.

Kuchezeana kwa Kuangaliana!

Katika kuangalia kunaleta mvuto mkubwa katika moyo wa mwanaadamu na kunaamsha hisia kali za kimapenzi. Baadhi ya washairi wanaona kuwa kuangalia ni mshale unaoteka na kusibu lengo na kuua. Anasema mmoja wao:

Nami ninaona lau kama muangaliaji atawindwa
kwa kuangalia kwake mwanamke atakuwa ameniwinda
na kulisemwa zamani: muonaji ni bora ya muhadithiwa.

Kule kuona kunahadithia hisia za moyo wa mtu, na huelezea undani wa nafsi na kile ambacho nafsi imekibeba katika hisia za mapenzi ambazo zinapelekea kumsisimsha mtu na kudumisha ndoa.

Na ilikuwa ikisemwa hapo nyuma mambo manne hayashibishwi ila na mambo manne: Macho kwa kuona, mwanamke kwa mwanamme, Ardhi kwa kupata mvua na masikio kwa kupata habari.

Kuangaliana kwa wanandoa kunapelekea kukubaliana, kuvuta hisia, ambayo inapelekea katika mahaba na kuhurumiana. Hivyo tunaweza kuema Macho ni chanzo cha mvuto na kilele cha ladha ya mapenzi.

Na inatakiwa muono huu wa kuangalia uwe sio wa kukazia bali wa kuibia na kusinzia ili anaeonwa aingie haswa katika moyo.
 
Dada yangu Solarpanel, nikiwa kama JF Senior Sexpert, nakupa offer ya mafunzo ya wiki moja tu. Ni inbox venue yoyote ambayo ni convenient kwako tukutane nikupe mafunzo kwa vitendo bure kabisa!!!
Kweli wewe ni JF Senior expert member yaani posts zaidi ya 1000 una thanks 8? Haya sasa naona unataka Mke wa mtu
 
Mi naona katika mwili wko utakuwa una matatizo cha kufanya mimi nakushauri kama mtu mwenye uzoefu na haya mambo,kuna mtu alikuwa na matatizo kama yako nikampatia product moja inahitwa FEMININE HERBAL na TREE-EN-EN nicheki nitakusaidia namba zangu ni 0658277192.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom