Acha uongo picha ya kitambo hiyokama uonavyo hapo imetokea leo hiyo
God forbid...! kifo kikikutaka kitakufuata popote
Ilitokea wapiAcha uongo picha ya kitambo hiyo
Sijui hata! Ila hiyo picha nimeiona kitambo kabla hata sijainunua hii Faith 1 Startimes Smartphone.Ilitokea wapi
Hahahah kumbe ya muda mrefu...!!!Sijui hata! Ila hiyo picha nimeiona kitambo kabla hata sijainunua hii Faith 1 Startimes Smartphone.
Naam kweli kabisa na akichagui ww nani na uko wapi..God forbid...! kifo kikikutaka kitakufuata popote
Naam kweli kabisa na akichagui ww nani na uko wapi..