Nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Double K, Aug 1, 2012.

 1. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mimi ni msichana nina 26 years, nina boyfriend wangu tumeanzana tokea chuo lakini huwa haonekani kunijali ananitafuta akiwa na shida zake za............, nilimsemaga akajirekebisha kidogo, badae tukawa tunaongelea mipango ya ndoa na akasema ataenda kuongea kwao, alirudi ananiambia kwamba mama yake anataka mtu wa kabila lake (mkurya) lakini anasema yeye ananipenda nisihofu nisubirie labda mama yake atabadilika. msimamo wake kutwa ni visingizio mama anaumwa, sijui kazi anatoka usiku, simu yenyewe napigiwa jumamosi akiwa na shida hata sielewi na ananigagania eti nisimwache na hataki hata niwe na mtu ananifatilia kweli. naombeni ushauri je huyu mtu ananipenda hajui kuonyesha mapenzi au ananipotezea mda, na suala la mama kweli anaweza kubadilika au changa la macho?
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hakupendi huyo anataka mbuchu yako kama uko tayari endelea kumgawia labda unampa vizuri kuliko huko kwingine..... mengine akili kumkichwa dada!
   
 3. mito

  mito JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,655
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Hapo mnatofautiana malengo tu
  Wewe unataka mahusiano yenu yaelekee kwenye ndoa. Kijana amekuwa wazi na matarajio yako (soma jibu lake hapo kwa red). Huyo mama yake mnaishi naye karibu kiasi kwamba atakuona tabia zako kisha abadilishe msimamo wake?

  Ushauri wangu: kama unahitaji kut.... tu endelea naye huyo kaka maana umesema na yeye anakutafutaga tu akitaka hiyo huduma. Ila mdogo wangu kama unahitaji ndoa shtuka, hujachelewa bado!
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  njo kwangu!
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haswa msaidieni na hata ukimwandikia PM ili mumfunde huyu mwali ili afundike itakuwa siyo vibaya.
   
 6. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  hivi haya mambo ya kabila bado yapo duh! hivyo ni visingizio tu ili aendelee kukuchezea ila hakupendi kabisa. chukua time zako wanaume ni wengi hasa ukijiheshimu lakini heshima ni 0 loh utaendelea kuchezewa sana. take care bidada.
   
 7. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mito nimetafuta like nimekosa ila well done. Tatizo wadogo zetu siku hizi hawasikii utaseme mpaka mtu unachoka sasa sijui hapo anataka ambiwe nini ili ashtuke.
   
 8. mito

  mito JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,655
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Sidhani hapo kwa red Chauro, ingekuwa hivyo wala asingemwambia jibu la mama yake, angepambapamba tu kiaina ili asimkatishe tamaa, halafu then mwanaume angejipanga kumuoa kimya kimya bila hata idhini ya mama yake, chezea mwanaume akishapenda!

  Hapo ni kwamba she is cheap and available ndo maana kijana haendi kwingine
   
 9. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Tengeneza maisha yako kwanza, yakiwa bomba ndiyo ijiingize ktk mapenzi, hakuna mwanaume atakayekuyumbisha.
   
 10. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sorry, Hivi anachezewa au wanachezeana
  Shtuka mdada anakugeuza pozeo.....
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  achana nae huyo ....
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  wadada wanataka tu kuolewa siku izi, ndo maana nimeamua sitaki long term relationships, mambo ya kulazimishwa kuoa........jamaa hajaamua tu kukuoa, wala hana malengo na wewe, sana sana anataka kipochi manyoya chako tena si ajabu ana sehemu nyingine anayopunguzia stress unazomsumbua
   
 13. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,003
  Trophy Points: 280
  Anakupozea muda wako bure dada kimbia haraka kabla hujajuta.
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hapo penye bold panaonyesha wazi kuwa anakutumia kwa haja zake binafsi na hana upendo na wewe hata chembe! Imagine mtu ambaye hakupigii simu, hakujali anakurupuka tu siku akiwa na hamu unaweza kuishi naye kweli? Au ndo utaishia kufungiwa ndani baada ya ndoa huku ukipigwa mingumi kwa makosa usiyo stahili?
  Tafakari!
   
 15. mubaraka

  mubaraka Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana mdada mbaya zaidi si zani kama wakurya unawapata vizuri kwani ndio wanausalama walio wengi hapa TZ
  hii ina maanisha utakapo olewa jiandae na plasta box 8,bandegi box 6, spirit chupa 4 na dawa za kupunguza maumivu mchanganyiko za jumla.
  ila usikate tamaa kama una mpenda sanaa basi jaribu kumwambia ki2gani ambacho hupendi toka kwake uwe mwazi muambie vyote usi mfiche hata kimoja even mambo za GgiGgi
   
 16. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hajieewi huyo!!!!!!!! kwani we utaenda kuishi na mama yake!! anakudanganya live bila chenga!! mwambie akakutambulishe uone mama atareact vp!!
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  :baby::baby::baby:
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mrembo pole sana! Tafuta mtu mwingine, siwezi kukufariji kuwa mapenzi yenu yatafika unapo tarajia, kwanza yameshaingiliwa na mama mkwe! Stuka mrembo.
   
 19. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  MAKAVU LIVE:Huyo jamaa yako hana msimamo, au kwa maana nyingine ni DHAIFU na kuhusu hapo kwenye red, kaa ujue kuwa huyo mama yake KAMWE HATOKUKUBALI!HAO WAKISEMAGA WANAMAANISHA! I know these people oooo, NAKUSHAURI KAMA NIA YAKO NI KUWA NA MPENZI AMBAYE MTAJENGA FAMILIA BASI BORA UTAFTE MWANAUME MWINGINE HUYO HAKUFAI!I am talking WITH EXPERIENCE. SAMAHANI KAMA NIMEKU(WA)KWAZA
   
 20. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Huyo ni type fulani ya wavulana wanaojulikana kama "mbunye Oriented boyz" kimbia dada umri unaenda atakuchelewesha bure coz siku hizi ndoa zina age interval yake ukivuka umri huo soko lako litapungua dia.
   
Loading...