nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni

Discussion in 'JF Doctor' started by chen, Jun 29, 2012.

 1. c

  chen Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nina tatizo la kuchelewa kumaliza tendo la ndoa natumia zaidi ya dk 30 kumaliza na nina uwezo wa kufanya tendo ucku kucha bila kuchoka.nahisi hii ni tatizo kwan na mbore girl friend wangu.nisaidien nifanye nini ili hili tatizo lishe
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Usifanye tena hayo mambo.
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  natamani ningepata mtu kama wewe,mbona ingekuwa sikukuu
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Angalia isije kuwa msiba maana wengi wetu saa moja ndio tumewahi. Hivi madaktari wa jf hawajagoma?
   
 5. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  huu uzi huku si mahali pake post kwenye jukwa la mapenzi kule utapata ushauri wa kutosha
   
Loading...