Fahari omarsaid
Senior Member
- Feb 8, 2011
- 101
- 13
husitake kujua kila kitu ndugu, unakumbuka waswahili wanasemaje, Ukimchunguza sana bata.........................!!!Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.
Ili mapenzi yenu yadumu, epuka kabisa kuangalia simu yake.
Hili jina fahari tumeshindwa kuelewe ni HE au SHE manake ushauri unatofautiana lol!Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.
Bado mleta mada hajasema kama yeye ni SHE au HE.Ukiona unamuogopa mwanamke wako kwa namna yeyote ile jua hapo siyo!Utageuka kituko siku dume zima!