Fahari omarsaid
Senior Member
- Feb 8, 2011
- 101
- 13
Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.