Nisaidieni

Fahari omarsaid

Senior Member
Feb 8, 2011
101
13
Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.
 
Kwanini ukiwa nae usipige simu yake uone jina gani linatumika...nasema hivi kwa kuwa utaratibu wa kupekua simu ya mwenza wako utakutana na maajabu na kama una roho ndogo tutakupoteza....
 
huyo mwanamke hakufai,ogopa mwanamke anayekupekua pekua,hamtadumu ,hilo nakuhakikishia.Mwambie akupe space na wewe mpe space,akuamini na wewe umuamini.
 
Kama mnapendana kweli ni rahisi wewe kuchukua simu yake na kufanya unachotaka lakini kama wewe ndio UNAMPENDA (namaanisha mapenzi ni ya upande mmoja, wewe ndio mwenye mapenzi ya kweli lakini yeye hana) utapata ugonjwa wa roho bure siku usiyotarajia.
 
Chukua simu pekua kwan yako aliwezaje kuichukua hebu weza kutetea uanamume wako dogo.
 
Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.
husitake kujua kila kitu ndugu, unakumbuka waswahili wanasemaje, Ukimchunguza sana bata.........................!!!
 
Ili mapenzi yenu yadumu, epuka kabisa kuangalia simu yake.
 
Pekua upendavyo ili kuondoa wasiwasi moyoni mwako
wengi wanaosema si vizuri kiupekuana ni waovu pekua
rafiki yangu siku za nyuma mwanamke alikuwa haolewi mpaka
achunguzwe siku hizi ni ngumu kwa sababu mambo yote huanzia
kwenye simu hivyo ukiinasa chunguza.
 
w.ke wa dizaini hiyo,wanakuwa wasumbufu,hutafuta sababu ndogo tu ya kugombana
 
Watu wengi sana wanavunja mahusiano kwa simu,na ndio maana hata ukisoma comment nyingi za watu humu wamekushauri wajuavyo.
Simu hizi tulizo nazo ni nzuri sana ila aina ya matumizi ambayo ni mabaya ndio yana sababisha matatizo.
Kama wapenzi mnaaminiana hauwezi kukataa kumpa simu mwenzako ila kama unamambo yako binafsi ndio utakataa na kumkataza mwenzako kishika cm yako.
Huna haja yakumuomba simu kama unaiona na yeye yupo hapo unashika tu as long as mnaaminiana,me huchukulia simu kama kipimo cha uaminifu mana ambae ametulia na wewe hawezi kukatazia simu yako.
Wewe kama unajiamini huna tatizo basi we mpe tu akiihitaji na kama anataka umsave atakavyo mwache kwani yakupunguzia nn wakati yeye ni wako?
Wewe sasa usiwe unafanya jambo sababu yeye kafanya,hayo yatakua mapenzi ya kisasi,leo umelipiza kuangalia kesho mtalipiziana kitu ambacho kitaharibu penzi lenu.Chamsingi mwambie tu umenisave vp? nataka unisave hivi basi.
 
Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina lake na kujisevu MY L,na mimi nataka kufanya hivyo ktk cm yake sababu cjui amenisevu vipi bt naogopa kujiumiza roho kwani naweza kugundua mambo mengine,nifanyaje ili niangalie alivyonisevu? Na kwa upande wa mapenzi ananijali kama kawaida.
Hili jina fahari tumeshindwa kuelewe ni HE au SHE manake ushauri unatofautiana lol!
kama wewe ni HE vimeo vyote visevu kwenye Simcard na simu uwe unatumia Handset memory kwahiyo hata bidada akiangalia anaambilia sifuri,ukihitaji kuwasiliana na vimeo unabadili to simcard memory kwa muda,sms zote za mashaka unafanya kama Funzadume 'ukishasoma ideliti'.
Kama wewe ni SHE uwe na tabia nzuri na uridhike na huyu mmoja sawa hahaha! marufuku kumpa mtu namba ya simu yako au kutumiana sms mchezo kwisha lol!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom