Nisaidieni watanzania wenzangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni watanzania wenzangu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NIMEKIMBIA CCM, Sep 20, 2012.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani ninachukua degree ya engineer bahati mbaya mwaka 2011/2012 nilikosa mkopo nilijitutumua mpaka nikasoma hivohivo(nina deni chuoni) lakini niliapply tena je utaratibu ukoje kwa sisi tunaoendelea na ,masomo vyuoni,,yaani kuhusu mikopo au ndo baso tena
  natatanguliza shukurani zangu
   
 2. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe si ulisema unafanya Kazi HESLB itakuwaje leo uombe Mkopo..!?
   
 3. A

  Awadh Mabaraza Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha kibaka kaokoka
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,736
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Dean na Waziri wa Mikopo amekuambiaje?
  Niliwahi kusikia, mtu kama wewe unapaswa kuandika barua HESLB ikieleza ulipata wapi fedha za kusoma mwaka wa kwanza, na kwanini ushindwe kuendelea kulipa.
   
 5. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ze dudu01 ni kweli unayoyasema buti wakati mwingine hata ya kaisali huwa tunampa mungu,,,,,,,,,hiyo ni taarifa niliyokuwa nimeinukuu mahala fulani............but nakupongeza kwa umakini wako
   
Loading...