Nisaidieni wasifu wa wasichana wa kimakonde.

heri we umeeleza ukweli,wengine hawataki kabisa kusema ukweli
 
Namjua mmakonde mmoja ni mchapakazi na muongeaji sana.. (charming!). Sasa sijui kama ni general behavior ya wamakonde wote..
dah inavyoelekea wana tabia nzuri coz kila mtu anawasifia
 
Namjua mmoja Office Kwetu ANASEMAGA ME RECEPTION YANGU MBAYA ILA NIKIKUPAGA UTANIACHIA TEMBO CARD MASTER CARD NA PASSWORD.inawezekana maana anamiliki RAV4 ya ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…