Nisaidieni wasifu wa wasichana wa kimakonde.

Mkuu hawa wabinti wavumilivu sana,pia kitandani wako fiti sana pia hawako tayari kuona mwanaume ananuna kwani wanajua namna ganiya kucare kwa ujumla mie nnae mpaka muda huu na cjajuta kua nae ingawa ni miaka 3 sasa tupo kwenye relationship,mambo mengne ni kuelekezana kwani hakuna binadamu aliekamilika
heri we umeeleza ukweli,wengine hawataki kabisa kusema ukweli
 
Namjua mmakonde mmoja ni mchapakazi na muongeaji sana.. (charming!). Sasa sijui kama ni general behavior ya wamakonde wote..
dah inavyoelekea wana tabia nzuri coz kila mtu anawasifia
 
Namjua mmoja Office Kwetu ANASEMAGA ME RECEPTION YANGU MBAYA ILA NIKIKUPAGA UTANIACHIA TEMBO CARD MASTER CARD NA PASSWORD.inawezekana maana anamiliki RAV4 ya ukweli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom