Nisaidieni wana JF - Nikinunua hisa za kampuni fulani nitarajie faida zipi

ITSNOTOK

Member
Jul 19, 2011
44
10
Hisa zimekuwa zinauzwa mara kwa mara, ila nimekuwa na hofu juu ya nini ninaweza kupata. Kidogo ninachofaham ni kwamba ninaweza kulinganisha bei niliyonunulia hisa moja na ya kuuzua katika muda nitaoona pengine ni mzuri na nikauza nikapata faida.... Ningependa niweke huko hela yangu ila sijaelewa vema faida nyingine za hisa na pia juu ya hasara inayoweza kunikumba. Nisaidieni nifahamu zaidi. Vilevile kama kuna mtu ana taarifa za kutosha juu ya hisa za precision air ambazo zimetangazwa hivi karibuni naomba pia anisaidie.Sambamba na -- kama kuna kampuni yenye faida zaidi (kama ipo) ukilinganisha na ya precision - naomba nisaidiwe taarifa zake
 
Back
Top Bottom