Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

Hivii mnawezaje??
Mbona Mimi nahisi kudata mapema jamani.! 😂
Mimi naweza kwa sababu siku nimekuwa bored namchokoza tunabishana.

Kitu kizuri kuhusu yeye ni kwamba hana kitu kinachoitwa "mood" ya kubishana. Muda wowote ukijisikia kubishana nae unamkuta kajiandaa.
 
Mnyang'anye sim yenyewe na umpeleke kwa mwalimu wa nidhamu ikibidi wazazi wake waitwe wajue kwmb bint yao anamiliki cm
 
Mimi naweza kwa sababu siku nimekuwa bored namchokoza tunabishana.

Kitu kizuri kuhusu yeye ni kwamba hana kitu kinachoitwa "mood" ya kubishana. Muda wowote ukijisikia kubishana nae unamkuta kajiandaa.
Kweli he is real an expert, Mimi kuna siku huwa naamka sijiskii hata kujibu msg tu za wadau, sasa hiyo mood ya kubishana tu nitatoa wapi?

Tunatofautiana sana walaqhi'..!!
 
Magu alishasema kuwa yeye tayari namba 3 ameshakuchagulia utakae mjaza mwanafunzi. Kazi yako itakuwa ni kuchagua pacha wa hiyo namba tatu kisha uanze kutumikia.

3 yake na wewe ukichagua mfano 1 utapigwa miaka 31.
 
Suala la wapi kapata namba yako sio muhimu. Kama wewe ni mwalimu uliyepikwa ukapikika vyema unajua nini cha kufanya.

Unaweza kumwambia asikutumie msg tena na namba yako aifute tu. Otherwise utakuja kujuta huko mbele ya safari. Mwanafunzi akipata mimba au tatizo lolote, utakuwa prime suspect
 
Inawezekana kaitoa kwenye mitandao ya kijamii "facebook" kama profile yako iko wazi na uliiweka namba yako

BTW msikilize, inawezekana hana nia mbaya, maana wanafunzi wanapenda sana kuwa karibu ja walkmu wao, hata sisi enzi zetu tulipenda sana, sema walimu wa kupindi hicho walikuwa hawazoeleki, kiasi walitushusha morali kuyapenda masomo yao. Mwalimu anakua kama anapigia mswali ACID. Duuh, usiwe hivyo mwalimu!
 
Kumbuka aliyemuomba kamwambia hamna tena siri apo

Kqribu uraiani
 
Utanikuta sege dansi hapa getini na unyapara wangu jiandaee kukaza kiume vingnevyo utaliwa kiboga
 
Mkeo ndo kampatia namba yako ili aijaribu imani yako.

Vitu vidogo vinakusumbua akili. Hukupaswa kuleta hapa otherwise kichwani you are not mature enough.

Think beyond your coconut
 
Sasa wewe huwa unasawazisha nini?
Walimu wengine majanga kweli kweli.
 
Vitu vingine sio lazima uje kulialia humu. Mm ni mwalimu aa chuo ila wanafunzi ninaofundisha wote wana namba zangu tena sio moja na sijawahi kusumbuliwa hata na mmoja. Tena nipo nao kwenye group la whatsap. Mtoto kakusalimia tu wewe ndo unajiless kama toyo. Just mjibu upo salam then the story iishie hapo
 
Nyinyi ndio tumewakabizi watoto na wadogo zetu muwaelemishe usiniambie wewe ni graduate na umeshindwa ku sort out minor case kama hio, Swali kwako je hio namba hamna mtu yeyote ambae anayo?
 
Mbona unashangaa huyo mwanafunzi kuwa na namba yako?...do you think you are that smart?,no,you are not kama undishi wenyewe ni wa mme badala ya mume,adi badala ya hadi,kua....
Watu wana number hadi ya Trump na Malkia Elizabeth ndio watashindwa kupata namba ya Teacher wa NYAMISATI au KAZULAMIMBA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…