Unatumia simu gani? simu nyingi huwa screen capture ni kubonyeza power button na menu button kwa pamoja..naomba msaada jinsi ya kufanya screen shot kwenye instagram.na je mpaka simu zenye uwezo mkubwa au la.na njia mbadala ya kusave picha kutoka instagram.asanteni
Bonyeza power button na volume 'down' button kwa pamoja sekunde chache utaskia clicking sound alafu nenda kwenye gallery ya simu utakuta folder la screenshots,,natumia tecno p5.vipiinaweza
aisee kaka nashukuru sana kwa msaada wako kwani nimefanikiwa kwa 100%.Long live JF