Nisaidieni wakuu

Nisaidieni wakuu

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari za jumamosi wakuu
Nikiwa bado miguu imekufa ganzi nimeshindwa kutoka kitandani namuwaza huyu mwanaume wangu ambaye nilishaweka bandiko hapa kwa ajili yake.

Jana aliniaga anatoka na dada yake mmoja na shemeji yake kweli wakatoka na picha nikatumiwa (naishi mkoa tofauti na alipo)

Ilipofika saa 6 hivi akanipigia akanambia wapo club simu ikakata. Nikaja kumpigia baada ya kama Dk. 10 akapokea simu mwanamke akanambia Kwa nn nampigia bwanake simu usiku huo. Simu ikakatwa

Baada ya Dk. 20 jamaa anapiga namuuliza umempa nani simu yako anashangaa na kuwauliza Dadaake na shemeji yake kuna mtu kapokea simu yangu (nasikia wanajibu hatujapokea)

Tumegombana hapo ila sauti ya mwanamke nikagundua ni shemeji yake (mke wa Kaka yake) aliyepokea simu lafudhi yake maana siyo mwafrika

Tumeongea hapo wee akanambia anataka awapige apo washalewa wote nikamwambia achana nao rudini nyumbani

Toka hiyo jana simu haipatikani hadi sasa
#Nnachoomba ushauri nimuache huyu Kijana au niwe nae kwa starehe tu maana ndo amefocus huko kwenye starehe sana
Najua hapa akiwasha simu ataanza kulia ila haya mapenzi siyawezi kabisa wakubwa nishaurini nifanye nini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama uko kwenye mahusiano hujui yanahusiana na nini achana nayo
 
Hapo mwisho umesema unajua yupo kwa starehe na ukauliza vipi uwe naye kwa starehe. Mwisho ukajibu kuwa mapenzi ya hivi huyawezi.

Unaomba ushauri wa namna ya kupata mpenzi mwingine au ushauri wa style ya kuachana nae.
 
The issues siyo mabaharia, tatizo ni moyo

Sent from my iPhone using JamiiForums

I feel you madam....sometimes moyo haukubaliani na maamuzi

Lakini inafika muda unatakiwa uuforce ili kuepuka maumivu yenye muendelezo

Halafu hiyo idea ya kumtumia kwa starehe utakuwa unajiongopea tu...huwezi!!!ni either uachane nae ama uendelee kuumia kama hivi

Pole​
 
Kuna wakati watu wanakuwa si wao etiiiii (najua sijaeleweka).

Fanya chochote kwenye mapenzi usiache kuwa wewe..!

Sent from my HTC One M9 using Tapatalk
 
Hapo mwisho umesema unajua yupo kwa starehe na ukauliza vipi uwe naye kwa starehe. Mwisho ukajibu kuwa mapenzi ya hivi huyawezi.

Unaomba ushauri wa namna ya kupata mpenzi mwingine au ushauri wa style ya kuachana nae.

Jinsi ya kuachana nae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I feel you madam....sometimes moyo haukubaliani na maamuzi

Lakini inafika muda unatakiwa uuforce ili kuepuka maumivu yenye muendelezo

Halafu hiyo idea ya kumtumia kwa starehe utakuwa unajiongopea tu...huwezi!!!ni either uachane nae ama uendelee kuumia kama hivi

Pole​

Dah nimelia sana sijui kwa nini mapenzi yapo hivi ila nimekuelewa my dia Asante

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo mwisho umesema unajua yupo kwa starehe na ukauliza vipi uwe naye kwa starehe. Mwisho ukajibu kuwa mapenzi ya hivi huyawezi.

Unaomba ushauri wa namna ya kupata mpenzi mwingine au ushauri wa style ya kuachana nae.

Nahisi hata sielewi ninaandika nini kiongozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utapata bora na smart kuliko yeye.
Toa fikra kuwa yeye ni bora kuliko wengine.

Wanaume wa ukwel na wenye mapenzi wapo wengi sana..

Maji yakizidi unga njoo kwangu upate tulizo
Mrembo
Jinsi ya kuachana nae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Long distance love by Jahmiel.

Out of sight, out of mind!

Kama hamjaoana kuna mmoja ataumizwa na haya mahusiano.
Mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu ya umbali wa wahusika.

Muda si mrefu Utasikia msela kaoa kabisa anaishi na mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YaweZekana wewe una muhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji.
Dah nimelia sana sijui kwa nini mapenzi yapo hivi ila nimekuelewa my dia Asante

Sent from my iPhone using JamiiForums
Daaaah kama nakuona vile pole sana mpendwa
Nahisi hata sielewi ninaandika nini kiongozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Em move on mama.
Yanini uhangaike na mahusiano yasiyo na uhusiano?
 
Yani mtu anarudia trna na tena unavumilia kisingizio moyo?!

Kuendekeza ujinga ndo kitu watu wengine hatujaumbiwa

Sikumbuki mara ya mwisho nmemlilia mwanaume ni lini.....

Maamuzi ni yako maana tunaweza kushauri achana nae kumbe ukibembelezwa mahaba yanarudi utatuona sisi tulikua tunakupigia kelele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom