kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Habari wadau..,
Jioni hii yamenikuta nimetoka ATM nikachukua laki nne na risiti ikaandika hivyo hivyo, nilivyochukua hizo pesa sikuhesabu nikaweka kwenye bahasha maana nilikuwa naenda kumlipa mtu pesa zake.
Nilipofika kwa jamaa tunazihesabu zipo laki tatu na nusu 350,000/= duuh nikaangaika kweli kutafuta ila zile zile na wakati natoka ATM nilienda moja kwa moja mpaka kwenye gari na kwenda kwa jamaa kumlipa.
Sasa nauliza ATM inaweza kuniibia? Na nilibonyeza button ya laki nne?
Najiuliza maswali sielewi.