nisaidieni plzzzzzz

Ahhhh sio zambi bana hv kwa nn watu wanakimbia makabila yao (kula ugali asubuhi sio kosa ni mila...lol na acheni kuegemea AR bana ww figa hiyo ni ya kingosha ngosha tuu). Anyway, angalau hapo chini hukunitukana maana umejua ww ni mtu wangu ...
Ila km huyo jamaa ndiyo analeta haya matatizo basi bora kujiweka sawa then kata funua maana life iz too short na ww bado mdogo sana kupata problems hizi..

Watch r food mama.... n be active, burn more calories...!!

mm sio msukuma na soma fresh iyo post we ****** nn???????
 
Ahhhh sio zambi bana hv kwa nn watu wanakimbia makabila yao (kula ugali asubuhi sio kosa ni mila...lol na acheni kuegemea AR bana ww figa hiyo ni ya kingosha ngosha tuu). Anyway, angalau hapo chini hukunitukana maana umejua ww ni mtu wangu ...
Ila km huyo jamaa ndiyo analeta haya matatizo basi bora kujiweka sawa then kata funua maana life iz too short na ww bado mdogo sana kupata problems hizi..

Watch r food mama.... n be active, burn more calories...!!
hapo cjakupa mwanangu loh! ina mana niwe asha ngedere kwa wanaoniuzi au ????????
 
Aminata!!pole sana dia!hali kama hiyo inawatokea watu mara nyingi sana!sijajua sana kitaalam inasababishwa na nini,but jaribu kufuata ushauri utakaopewa na daktari!pole sana!
asante mnooooo an stay blessed ma dia
 
Kujihisi kuwa moyo unavuja damu unaposhituka ni jambo la kawaida. Usiogope na ninakuhakikishia kuwa huna maradhi yeyote bali una hali nafsia. Yaani upo concious of your health. You have phobia of becomming sick. Ushauri wangu ni tafuta passtime itakayo kutoa kutoka hali hiyo. Deppression zako zoooote zita vanish kama ukianza kuwa outdoors. Nenda beach na freinds wako. Sikiliza music na excessise. This is your only remedy. See me for further advise.
thanx )))))))))))
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom