NISAIDIENI: PC yangu hai-accept output device...

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
981
Wakuu nmenunua pc mpya dukan lakn cha ajabu nikiweka device km flash,cardreader,modem na USB hazisom kwenye pc tatzo ni nini hapo,?
KUMBUKA: PC yangu Haina Wi-Fi kwa hyo nategemea modem ili niweze kuacces internet
 
We jamaa unatuchanganya hapa.Hio p.c ni used bila shaka unaiita mpya kwa vile ni mara ya kwanza wewe kuimiliki.
Back to business:
Jaribu kuweka drivers za toleo la p.c husika.Ningeshauri utumie driver pack solution ya 2010-2012
 
Wakuu nmenunua pc mpya dukan lakn cha ajabu nikiweka device km flash,cardreader,modem na USB hazisom kwenye pc tatzo ni nini hapo,?
KUMBUKA: PC yangu Haina Wi-Fi kwa hyo nategemea modem ili niweze kuacces internet
tatizo dogo sana ilo.. tafuta driver pack itaweka missing driver zote zinazomiss na matatizo yote yatakishwa ..

wasikutishie hao eti pc mbovu mbovu ni kitu kidogo tu icho pc yoyote ukinunua lazima uongezee accessories nyingine... for more ni PM

IPO KAMA IVO
attachment.php
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    53.9 KB · Views: 315
laptop zinazotoka miaka hii haswa hp ikiwa na windows 8 ukibadili na kuweka 7 inakuwa na matatizo kama hayo hata uweke driver pack ni kazi bure na ukienda kwenye bios hakuna usb mode uwezi kuenable wala kidisable rudisha windows 8 au weka windows 10 ndo ufumbuzi wa haraka mi niko nayo na nimeshaona jamaa wengi wakilia na tatizo kama lako
 
laptop zinazotoka miaka hii haswa hp ikiwa na windows 8 ukibadili na kuweka 7 inakuwa na matatizo kama hayo hata uweke driver pack ni kazi bure na ukienda kwenye bios hakuna usb mode uwezi kuenable wala 0kidisable rudisha windows 8 au weka windows p10 ndo ufumbuzi wa haraka mi niko nayo na nimeshaona jamaa wengi wakilia na tatizo kama lako
Izo problem za biult-in windows
 
Izo problem za biult-in windows

Ni matatizo ya kudowngrade hata mwaka 2009 pc iliyokuja na windows 7 ukaeka windows XP ingekua na matatizo ya kumiss driver.

Watengeneza pc kina Lenovo, hp, dell, Intel na watengeneza vitu vya ndani wao ndio wanaotengeneza driver pia. So usitegemee waajiri watu wacode driver kuanzia windows za zamani kwao haina faida, zikitoka pc mpya driver za zamani hawazisuport tena
 
Umeuziwa mbuzi kwenye gunia Pc mpya alfu ina missing drivers Duh!!!...:eek2:
Au sema ni used usaidiwe!!....
 
Ni matatizo ya kudowngrade hata mwaka 2009 pc iliyokuja na windows 7 ukaeka windows XP ingekua na matatizo ya kumiss driver.

Watengeneza pc kina Lenovo, hp, dell, Intel na watengeneza vitu vya ndani wao ndio wanaotengeneza driver pia. So usitegemee waajiri watu wacode driver kuanzia windows za zamani kwao haina faida, zikitoka pc mpya driver za zamani hawazisuport tena
that's business
 
sio kweli bwana smokey
Ukweli ni hivi sijawahi nunua used laptop kwa maana najua zina matatizo..Hata kama pesa haitoshi nitasubiri mpaka itakapo kamilika..mpaka sasa nimenunua 3 na nikiona zinazingua nauza mapemaaa...zote hizo 3 sijawahi kukuta laptop ina missing drivers labda nikiconnect kwenye Net idai kuupdate tu..na kampuni nilipendelea ni Sony Dell na Mac😛oa
 
sio kweli, sikuzungumzii wewe kuwa unanunua pc used au mpya ilo mi haliniusu.. ninachosemea mm sio kweli kwamba pc mpya et haitakiwi kumiss some drivers, nimeshuhudia zaidi ya watu wa 5 wamenunua pc mpya dukani na box lake kabisa ila zikawa zina miss drivers unless wakuwekee palepale izo accessories zote wenyewe mfano drivers ant virus sijui adobe microsoft na takataka nyinginezo.. are we clear???
 
Hizo Ni pc zinazokuja na Dos, wafanya biashara wetu wanaleta uhuni wanazinunua bila windows halafu windows wanazi piracy (wanaiba) then wanakuuzia bei sawa na pc yenye windows (wapate faida kubwa)

Ila pc inayokuja na windows itakuwa na driver tayari au watakupa cd ya driver au kutakuwa na tool ndani ya pc itakayokuguide kueka hizo driver hawawezi kukuacha hv hv
 
tool unayo maanisha hapo ni kama vile vijitabu ama tool za aina gani? maana nilinunua pc kulikua nakikaratasi kinasema "NO OPERATING SYSTEM INCLUDED" or other pre-installed, ndo nkajiwekea mwenyewe home,,, uyu Smokey naona huwa anaongezaga ela awekewe kila kitu pale pale ndo maana hakutani na izi issue zaidi ya kusema "pc yako umenunua used"
 
hio isio na operating system ndio inakuja na DOS. ni wafanya biashara wetu kutokana na umero wa faida ndio maana wanazileta nyingi. hizo wametengenezewa watu wanaotumia linux distro na os nyengine za bure.
 
sio kweli, sikuzungumzii wewe kuwa unanunua pc used au mpya ilo mi haliniusu.. ninachosemea mm sio kweli kwamba pc mpya et haitakiwi kumiss some drivers, nimeshuhudia zaidi ya watu wa 5 wamenunua pc mpya dukani na box lake kabisa ila zikawa zina miss drivers unless wakuwekee palepale izo accessories zote wenyewe mfano drivers ant virus sijui adobe microsoft na takataka nyinginezo.. are we clear???

Hizo Ni pc zinazokuja na Dos, wafanya biashara wetu wanaleta uhuni wanazinunua bila windows halafu windows wanazi piracy (wanaiba) then wanakuuzia bei sawa na pc yenye windows (wapate faida kubwa)

Ila pc inayokuja na windows itakuwa na driver tayari au watakupa cd ya driver au kutakuwa na tool ndani ya pc itakayokuguide kueka hizo driver hawawezi kukuacha hv hv
Nadhani Chief-Mkwawa kanisaidia kujibu swali lako Avatar mok..Sema tena "SI KWELI"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom