NISAIDIENI: PC yangu hai-accept output device...

hizo ni pc zinazokuja na dos, wafanya biashara wetu wanaleta uhuni wanazinunua bila windows halafu windows wanazi piracy (wanaiba) then wanakuuzia bei sawa na pc yenye windows (wapate faida kubwa)

ila pc inayokuja na windows itakuwa na driver tayari au watakupa cd ya driver au kutakuwa na tool ndani ya pc itakayokuguide kueka hizo driver hawawezi kukuacha hv hv

ukweli ni hivi sijawahi nunua used laptop kwa maana najua zina matatizo..hata kama pesa haitoshi nitasubiri mpaka itakapo kamilika..mpaka sasa nimenunua 3 na nikiona zinazingua nauza mapemaaa...zote hizo 3 sijawahi kukuta laptop ina missing drivers labda nikiconnect kwenye net idai kuupdate tu..na kampuni nilipendelea ni sony dell na mac😛oa

nadhani chief-mkwawa kanisaidia kujibu swali lako avatar mok..sema tena "si kweli"
"sio kweli"
 
hio isio na operating system ndio inakuja na DOS. ni wafanya biashara wetu kutokana na umero wa faida ndio maana wanazileta nyingi. hizo wametengenezewa watu wanaotumia linux distro na os nyengine za bure.
sawa mkuu licha bado sijaelewa sana izo terms za kitaalam
 
ngoja labda nikuhadithie kama story utaelewa.

pc zilikuwa znakuja na windows tu. na kila windows watengeneza pc wanailipia kama dola 40 (windows ya kawaida) hivyo inamaana ukitoa 500,000 kununua pc mpya basi kama 420,000 ndio ya pc na 80,000 unalipia windows.

lakini si kila mtu anahitaji windows, kuna watu wanatumia operating system nyengine tofauti kama ubuntu, linux mint nk hawa watu wakawa wanalalamika kuwa wanalipia windows lakini hawaitumii hivyo wao wanadhulumiwa. kuna baadhi ya nchi wakaeka hadi sheria kuwa kama mtu hatumii windows arudishiwe hela yake.

hivyo manufacture kina lenovo, hp, dell na wengineo wakaamua kutengeneza laptop ambazo hazina windows kabisa na nyengine zinakuja na operating system za bure kama ubuntu, sababu hizi hazijalipiwa windows zinakuwa bei rahisi kidogo kulinganisha na zile zinazokuja na windows.

kutokana na wafanyabiashara wetu kupenda kuuza kitu kimoja alipe kodi ya mwezi mzima siku hizi hawaleti sana laptop zenye windows wananunua zisizo na windows kwa bei rahisi na kuja kutuuzia huku kwa bei ile ile kama ya zinazokuja na windows. na sababu laptop haina windows ina maana pia haina driver za windows.

wanapokuuzia hizi laptop hawa wafanyabiashara huweka windows za wizi na driver za driverpack solution wenyewe. wakati laptop inayokuja na windows genuine inakuja na cd ya driver au utakuta driver muhimu wameshakuekea unatumia tu ukinunua haina haja ya driverpack wala kueka windows upya.
 
hapo sasa sawa kabisa nimekelewa ata ukitunga mtihani fresh.. nimeelewa clue nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom