Tafuta njia ya kumridhisha mwanamke wako tofauti na hiyo umeshaona unapata madhara bado unakomalia jipende kwanza wewe ndugu mwisho upate kansa ya koo !hebu jitambue
Mshirikishe mpenzi wako pia kama anakomaa uende chumvini afya ni mtaji ,afya ni utajiri.Amka usingizini