hapana sikuwa nabip nilipoondoka nyumbani kwangu nilijua nachofanya kwa usahihi mkubwa nachoomba hapa ni ushauri tu kama na mm ntakuwa rit nikianza mahusiano mengine wakati ni mke wa mtu wa ndoa na mume wangu adanidivorce wala kunipa chochote kilicho changu toka ndani ya nyumba yetu tuliyokuwa tunaishi pamoja.
Ni mwaka na nusu sasa tangu nitengane na mume wangu wa ndoa nikikimbia kipigo cha mara kwa mara tayari mwenzangu ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine mwenye mtoto age moja na mtoto wetu je nifanyeje?
nataka Mume wangu afunguke kama ndo kaamua jumla kuwa na huyo mwanamke anidivoce mm ili pia nianze maisha mapya coz nw on stil am countin mm ni mke wake maana hata vilivyo vyangu still vipo ndani ya nyumba tuliyokuwa tunaishi pamoja.
Mapenzi ni furaha si mateso! Ulicho fanya mwanzo si kibaya!
Achana nae endelea na maisha yako!
Jaribu kujizuia hisia zako kwake maana ina onekana bado unampenda!
we jinga tu
Unakimbia Kipigo???????????????????????????????????Ni mwaka na nusu sasa tangu nitengane na mume wangu wa ndoa nikikimbia kipigo cha mara kwa mara tayari mwenzangu ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine mwenye mtoto age moja na mtoto wetu je nifanyeje?